Maurice Moore
Senior Member
- Aug 22, 2018
- 189
- 309
Amka! Amka braza umeanza kukojoa kitandani

Bongo nyoso bongo balaaSent using Jamii Forums mobile app
Amka! Amka braza umeanza kukojoa kitandani

Bongo nyoso bongo balaaahahaha vijana wengi wanalishwa siku hizi.Hilo jukumu mmejipa wenyewe plus na utandawazi ..dunia inaenda kasi hicho kitu ni unkwepabo
Still bado nasisitiza hayo ni maumbile yenu jinsi mlivyoumbwa sioni sababu ya kuifanya big deal sana maana kweli mnatafuta ila tunao hustle sana ni sisi na hatujawahi jionea huruma
Sent using Jamii Forums mobile app
Unamwaka wa ngapi mkuu kwenye ndoaHivi karibuni mke wangu alikua mjamzito, na kwa sababu ni mimba ya kwanza kwa utaratibu ilitakiwa akajifungulie nyumbani kwetu yaani kwa wazazi wangu. Kwakua sikupenda awe mbali na mm sikutamani kabisa aende so nilikaa nae hapa kwangu.
Baada ya mda mke wangu kajifungua na bahati mbaya kajifungua kwa upasuaji. Nimeshuhudia mateso aliyopitia mke wangu, moyo wangu uliuma kwa jinsi tunavyowatreat hawa wamama hata kama ni single mothers.
Jamani wanawake wanateseka, tena unakuta mtu anamcheat mke wake katika hali hii ya ujauzito na kujifungua. mimi nimeapa kutokucheat kwa mke wangu haiwezekani yeye ateseke vile kwa ajili ya mtoto wetu afu mimi et nione nyege ni mateso sana nooooo!!!!!!!!
Wanaume wenzangu mliooa pls love your wives, na kama hujaoa heshimu hawa dada zetu.
asanteni

hata wanawake wanatafuta pia .Ngoja mmalize honeymoon yenu hiyo ya ndoa, halafu ndio utakuja kujua kwanini taasis ya ndoa kinaanza cheti mitihani baadaetoka nimuoe sijamsaliti and so naendelea kutunza agano langu
Sio kukojoa tu, ameanza kukata na gogo kabisaa kitandani.Amka! Amka braza umeanza kukojoa kitandani
Ukienda msibani halafu ukasikia marehemu amekufa kwa ngoma utajiapiza kuwa hutofanya uzinzi tena. Ila binadamu tumeumbiwa kusahau, siku 3 tu nyingi unasahau viapo vyote.
Siku tatu nyingi hivyo,mpe masaa matatu tu uoneUkienda msibani halafu ukasikia marehemu amekufa kwa ngoma utajiapiza kuwa hutofanya uzinzi tena. Ila binadamu tumeumbiwa kusahau, siku 3 tu nyingi unasahau viapo vyote.
umeoa single mother, fala sana weweHivi karibuni mke wangu alikua mjamzito, na kwa sababu ni mimba ya kwanza kwa utaratibu ilitakiwa akajifungulie nyumbani kwetu yaani kwa wazazi wangu. Kwakua sikupenda awe mbali na mm sikutamani kabisa aende so nilikaa nae hapa kwangu.
Baada ya mda mke wangu kajifungua na bahati mbaya kajifungua kwa upasuaji. Nimeshuhudia mateso aliyopitia mke wangu, moyo wangu uliuma kwa jinsi tunavyowatreat hawa wamama hata kama ni single mothers.
Jamani wanawake wanateseka, tena unakuta mtu anamcheat mke wake katika hali hii ya ujauzito na kujifungua. mimi nimeapa kutokucheat kwa mke wangu haiwezekani yeye ateseke vile kwa ajili ya mtoto wetu afu mimi et nione nyege ni mateso sana nooooo!!!!!!!!
Wanaume wenzangu mliooa pls love your wives, na kama hujaoa heshimu hawa dada zetu.
asanteni
jasho la kutanua mapaja?Siku hizi ata wanawake wanatafuta kwa jasho.