jogijo
JF-Expert Member
- Mar 29, 2019
- 260
- 500
Hivi karibuni mke wangu alikua mjamzito, na kwa sababu ni mimba ya kwanza kwa utaratibu ilitakiwa akajifungulie nyumbani kwetu yaani kwa wazazi wangu. Kwakua sikupenda awe mbali na mm sikutamani kabisa aende so nilikaa nae hapa kwangu.
Baada ya mda mke wangu kajifungua na bahati mbaya kajifungua kwa upasuaji. Nimeshuhudia mateso aliyopitia mke wangu, moyo wangu uliuma kwa jinsi tunavyowatreat hawa wamama hata kama ni single mothers.
Jamani wanawake wanateseka, tena unakuta mtu anamcheat mke wake katika hali hii ya ujauzito na kujifungua. mimi nimeapa kutokucheat kwa mke wangu haiwezekani yeye ateseke vile kwa ajili ya mtoto wetu afu mimi et nione nyege ni mateso sana nooooo!!!!!!!!
Wanaume wenzangu mliooa pls love your wives, na kama hujaoa heshimu hawa dada zetu.
asanteni