Nimepata eneo zuri la biashara natafuta mdhamini, maana kazi wala kibarua sijapata

PRINCEBOY

Member
Apr 23, 2014
73
125
Habari ya leo wakuu?

Samahani,siku za nyuma nilipost thread ya kutafuta kazi au kibarua sikuweza kufanikiwa ila kuna eneo la biashara ya jikoni nimelipata na pako vizuri sana,aliye kuwepo mwanzo amesema alikuwa ana pata faida ya 20000 kwa siku hapo ni baada ya kuwa lipa wafanyakazi wake wote,kilicho mfanya afunge nikutokana na kwamba alimuacha mtu pale nayeye akaendelea na shughuri zake zingine maana ni muajiriwa serikalini,sasa alipo ondoka walikubaliana kuwa apewe hela kila wiki matokeo yake yule mfanya kazi wake akakimbia na pesa.

Kwahiyo eneo liko vizuri hata kimazingira,makubaliano yetu yalikuwa ni kuniuzia vyombo vyote vya jikoni ambapo pamoja na mtaji inacost 1000000 (1M).

Naomba kama mtu anaweza kunisaidia hata kwa mkopo baada ya miezi miwili na nusu ntakuwa nime maliza kumlipa,naomba kwa anaye guswa kuni fadhili kwenye hii biashara anisaidie na Mungu akubariki,maana nime omba kazi na vibarua kila mahari nime kosa nime fika mpaka viwandani lakini nako majibu nnayo pewa nikuwa msimu huu wa mvua siwezi kupata kazi maana hata waliopo wanapunguzwa,hivyo wazo langu nimeamua kujiajiri ila mtaji sina.

Mimi naishi Mbeya wakuu.

Nashukuru mbarikiwe nyote kwa ushirikiano hata wakusoma tu hii thread naweza kupata hata mawazo mazuri.
 
jimmyfoxxgongo

JF-Expert Member
Jan 23, 2013
5,371
2,000
Bosi huwezi kupata mtu wa kukupa 1M kizembe kizembe tena kwa hali ya sasa,

Tafuta utaratibu mwingine hata wa kuingia ubia na mtu ili muende sawa
 
Onyix

JF-Expert Member
Jan 15, 2014
671
1,000
Ningekua Mbeya tungefanya hii mambo naitamani sana asee... Tatzo nipo mbali..nami nilikua naiitaji sasa
 
Ricecooker

JF-Expert Member
Aug 9, 2017
499
1,000
1.Unachotakiwa ni kumfungukia huyo anayetaka kukuuzia,then baada ya muda unamlipa pesa yake.2)au akuajili wewe ili uwe unapeleka hesabu huku ukiwa unachichanga kwa mtaji binafsi.3)Ni ngumu sana kupewa mtaji na mtu bila kuwa na biashara inayoonekana labda upewe na wazazi wako kwa kukuhurumia.4)Nchi yetu haina utaratibu wa kutoa mitaji kwa start up,na hata ikitolewa lazma uwe na biashara inayoonekana.5)Ukifanikiwa kuwa na biashara hiyo usihinge hate 100 mpaka utakavyosimamia vizuri.pia usimsahau Mungu wako.
 
ashy me

JF-Expert Member
Nov 2, 2017
461
500

Mitaji n tatzo kubwa sana ....weng wamekwama wakidg na wana idea babkubwa ila imebd mawazo yabak kichwan ...fikir inahtajika lak 4 tu ila MTU anakosa inabd abak home tu abeti
 
jumamwaki

JF-Expert Member
Dec 4, 2017
239
250
Habari ya leo wakuu?

Samahani,siku za nyuma nilipost thread ya kutafuta kazi au kibarua sikuweza kufanikiwa ila kuna eneo la biashara ya jikoni nimelipata na pako vizuri sana,aliye kuwepo mwanzo amesema alikuwa ana pata faida ya 20000 kwa siku hapo ni baada ya kuwa lipa wafanyakazi wake wote,kilicho mfanya afunge nikutokana na kwamba alimuacha mtu pale nayeye akaendelea na shughuri zake zingine maana ni muajiriwa serikalini,sasa alipo ondoka walikubaliana kuwa apewe hela kila wiki matokeo yake yule mfanya kazi wake akakimbia na pesa.

Kwahiyo eneo liko vizuri hata kimazingira,makubaliano yetu yalikuwa ni kuniuzia vyombo vyote vya jikoni ambapo pamoja na mtaji inacost 1000000 (1M).

Naomba kama mtu anaweza kunisaidia hata kwa mkopo baada ya miezi miwili na nusu ntakuwa nime maliza kumlipa,naomba kwa anaye guswa kuni fadhili kwenye hii biashara anisaidie na Mungu akubariki,maana nime omba kazi na vibarua kila mahari nime kosa nime fika mpaka viwandani lakini nako majibu nnayo pewa nikuwa msimu huu wa mvua siwezi kupata kazi maana hata waliopo wanapunguzwa,hivyo wazo langu nimeamua kujiajiri ila mtaji sina.

Mimi naishi Mbeya wakuu.

Nashukuru mbarikiwe nyote kwa ushirikiano hata wakusoma tu hii thread naweza kupata hata mawazo mazuri.
Upo mbeya sehemu gani ?Maana na MIMI nipo Mbeya hebu nijuze ulipo mkuu , Maana haya mambo ya mitandaoni haya:D:D:D:D:D:D:D
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom