Honey....Wiki iliyopita ilibidi nitafute chumba baada ya mwenye nyumba kuniongezea kodi kisa ninamiliki Samsung curved na iPhone eti zina kila umeme mwingi.
Katika kutafuta chumba nimeona bandiko mahali, nikapiga simu kwanza bei niliyotajiwa si ya kitoto. Kwenda kuona chumba ni kwenye apartments mdada alichukua ya vyumba viwili lakini kwakuwa hali ni mbaya na yeye anataka bado kuitwa mtoto wa Masaki basi anapangisha chumba kimoja tusaidiane kodi.
Hivyo si wote waishio Masaki wanaishi kwenye mahekalu. Kuna siye tuliopangisha vyumba Masaki
nilivyo na wivu hapa moyo umeamia kichwani!Yes babe
Kwanu ulikuwa unamjua mkuu..?Kwa hiyo umetukimbia uswahilini? Nitakumiss
Au basi ntakuambia nyumbani...Yes babe
halafu huko utakosa hata kuona mambo ya mitaani, harusi, ngoma, watu wakisasambua, na raha zingine nyiiingiii za mtaani! rudi bwana Tandale hahahahahahaHuku hata si fit in mkuu ninajiona kanisa nitarudi kwetu Kwamtogole. Kwanza ilibidi nihame usiku maana miko na magodoro kwenye mkokoteni
Kusasambua na ngoma ya kusuta mtu. Bwana Kwamtogole raha pilau kabisa kinapikwa kisa kisu to na mtaa unafungwahalafu huko utakosa hata kuona mambo ya mitaani, harusi, ngoma, watu wakisasambua, na raha zingine nyiiingiii za mtaani! rudi bwana Tandale hahahahahaha
Nd'o rhaa ya uswahilini kufungiwa ndani kama kuku wa kisasa siyo ata kidogoKwamtogole iko moyoni mkuu hapa ninakumbuka umbea wa asubuhi ukitaka kununua maandazi na vitumbua