Majesty S P
Member
- Sep 24, 2020
- 62
- 88
Wadau natumai mu wazima.
Nimeziona kazi za Steigler Gauge zile 800+ nina vigezo vya kuomba .
Nimepata changamoto kwenye kutuma hzi application. Naombeni msaada ili nitume:
Ila kwenye tangazo Wamesema tutume Resume kwenye email yao ya JVCEE.
1)I la baadhi ya watu wanasema tutume tu Resume yani "Briefly CV" kwenye email only.
2)Na kuna wengine wanasema tutume application Letter,Resume na vyeti kwenye documents 1 ndio tutume kwenye email.
sasa binafsi napata sana ukakasi jinsi ya kutuma naomba kama kuna mtu mwenye hata uzoefu wa kutuma hzio nafs kwenye makampuni ya Elwaesedy na Arab Contractors atupe muongozo tuweeze kunufaika hapa jukwaani.