Nimepata Barua ya uhamisho ndani ya miaka 2 kazini

Nimepata Barua ya uhamisho ndani ya miaka 2 kazini

Huyu jamaa amefanyiwa uhamisho wa Ndani ya Halmashauri, kutoka Shule Moja kwenda nyingine Ndani ya Halmashauri. Ninachojua huo uhamisho utagharamiwa na DED mwenyewe kupitia OC za Idara ya Elimu(P/S) anayofanyia kazi mdau.

Nimewahi kuzunguka huko nilipokuwa nafanya biashara ya kununua Korosho, kwahiyo probably jamaa atakuwa amehamishwa kupelekwa maeneo ya Kitaya au Kilimahewa. Ingawa Nina Uhakika itakuwa Kitaya ndiyo ilikumbwa na machafuko ya kushambuliwa na Magaidi. Ingawa Ulinzi umeimarishwa saivi kuanzia Kitaya-Kilimahewa-Mnongodi-hadi Kitama I &II.

Kila la kheri Mkuu, Pesa yako ya Uhamisho utalipwa ingawa kwa kuchelewa kutegemeana na OC inavyokuja.

Mwanaume hachagui kazi, tuendelee kupambana.
Well said and catched.
 
Hapana mkuu.
Aisee! Magaidi sio watu wazuri hata kidogo.

Itakuwa Mke wa jamaa wamemfanya Mke wao huko maporini.

Mungu ampe moyo wa uvumilivu Daktari, manake ni kama nilisikia Mke wake alikuwa mjamzito Wakati anatekwa na yale Magaidi. Kwahiyo jamaa amepoteza Mke na mtoto kwa pamoja
 
1. Kwanini niondoe barua wakati taarifa muhimu nimezificha?
2. Ndicho kilichopo kichwani mwangu

Hujaficha kitu fata ushauri uliopewa
Jina la mkurugenzi lipo
Anuani ipo ni rahisi kukujua na nafatilia taarifa zako usiwe unapenda kuanika vitu vyako tena document muhimu
Ni ushauri tu
 
Acheni kumtisha mtoa mada. Kwani kuhama Kuna siri gani ambayo serikali haitaki raia wajue. Kuhama ni jambo ambalo lipo kisheria ambapo Kwa kada ya ualimu mkurugenzi anayo mamlaka ya kumuhamisha mtumishi ndani ya halmashauri yake hata kabla ya mwaka kutimia endapo tu anasababu za msingi
 
Back
Top Bottom