Nimepata Barua ya uhamisho ndani ya miaka 2 kazini

Nimepata Barua ya uhamisho ndani ya miaka 2 kazini

Huyu ticha pimbi kashajichanganya,

Watu wanamshauri yy anajifanya mjuaji, ngoja watembee nae

Kale kamradi kake ka pool table karibu na bar ndio kanampa jeuri ya kutaka kukataa uhamisho,

Sasa subiri wakutoe mazima ili ukasimamie kamradi kako vizuri[emoji3061]
Wabongo wanafiki sana..kwahiyo jamaa kuwa na ka mradi ka pool table wewe inakuuma sana.

#MaendeleoHayanaChama
 
Acheni kumtisha mtoa mada. Kwani kuhama Kuna siri gani ambayo serikali haitaki raia wajue. Kuhama ni jambo ambalo lipo kisheria ambapo Kwa kada ya ualimu mkurugenzi anayo mamlaka ya kumuhamisha mtumishi ndani ya halmashauri yake hata kabla ya mwaka kutimia endapo tu anasababu za msingi
Siku ya kujieleza atakuwa peke yake, wewe hautakuwepo!
 
Back
Top Bottom