Nimepata ajira ya mshahara wa milioni 1.2, natafuta mke tuanze maisha

Hahahahaha lol! Sina uadui nawe bali tunahitilafiana tu kwenye misimamo yetu kuhusu mwelekeo wa nchi yetu na wakati mwingine jazba huweza panda, lakini siwezi kukuona adui yangu hata kwa sekunde moja.

Mmmmmmmh

Tangu upate bonge la kusifiwa humu na ma babes naona na PM ukaibania eeeeh... Njoo unipe kichapo adui wangu weye
 
Hahahahaha lol! Sina uadui nawe bali tunahitilafiana tu kwenye misimamo yetu kuhusu mwelekeo wa nchi yetu na wakati mwingine jazba huweza panda, lakini siwezi kukuona adui yangu hata kwa sekunde moja.

Awwwwww nashukuru, haya tuzidi kuburudika na misimamo yetu kama kawa.
 
Reactions: BAK
mbwa nyingi humu zakike na kiume zinabrag about kuwa na pesa nyingi zaid sijui salary Mara hiyo ya jamaa ndogo kenge nyie mtu chake, hata muheshimiwa nanii Yule aliwahi ita pesa ya madafu kwake ya mboga tu
alafu Malaya nyingine zinajikooosha tunaona kabsa character zao za uhoe, be humble beeyatch sit down, jamaa kasema anaoa, period kama unavigezo ingia kati ulicheze goma. oya mwanangu Alex oa mzee wanawake wapo kama njugu wengine mpaka wanajichua peke yao. kuna wanawake wanatafuta mwanaume tu wakukaa nae wachilia pesa, na wanavigezo vyote msambwanda, akili, elimu na hawana makuu. geararehia u dadafantaz

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umepata kazi tu umeanza kuwaza kuishi na mwanamke? Mbona unakaribisha umasikini kwako? Tena unatafuta wa mitandaoni kabisa?

Tulia,andaa maisha yako mwenyewe. Ukiwa vizuri ndio utafute mke.
COMMENT YA MEMBER FLANI:

mbwa nyingi humu zakike na kiume zinabrag about kuwa na pesa nyingi zaid sijui salary Mara hiyo ya jamaa ndogo kenge nyie mtu chake, hata muheshimiwa nanii Yule aliwahi ita pesa ya madafu kwake ya mboga tu
alafu Malaya nyingine zinajikooosha tunaona kabsa character zao za uhoe, be humble beeyatch sit down, jamaa kasema anaoa, period kama unavigezo ingia kati ulicheze goma. oya mwanangu Alex oa mzee wanawake wapo kama njugu wengine mpaka wanajichua peke yao. kuna wanawake wanatafuta mwanaume tu wakukaa nae wachilia pesa, na wanavigezo vyote msambwanda, akili, elimu na hawana makuu. geararehia u dadafantaz

Sent using Jamii Forums mobile app
 
COOMENT FROM SOMENONE:

Unatafuta ban ya kijinga sana, pole kwa kujaaliwa kinywa kichafu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umenena vyema...kingine pesa hazijai hata uzisake vip mwisho wa siku utaona hazitoshi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee, we jamaa ni genius sana
 
Dogo, nilianza job na hela zaidi ya hiyo miaka miwili iliyopita..Nikajua itanikuzia profile....aah wapi. Nikuambie hivi, hela sio ishu. Kupata mwanamke was kuishi nae / kuoa ni kazi ngumu sana hapa mjini. Tulia, piga kazi....
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…