Dr wa Kaliua
JF-Expert Member
- Sep 20, 2020
- 1,634
- 3,880
Imekimbia haijafahamikapole sana mkuu. gari haijafahamika???
Ahsante sana mkuuSubiri mchakato wa bima although it takes time. Pole sana Kwa ajali
Nashukuru sanaPole mpambanaji. Mungu akupe neema.
Sawa mkuuPole sana.
Twashukuru hukuwa na Abiria. Bima itakurefund japo utachelewa kidogo.
Duh pole sana.. Ripoti bima kwa taratibu zaidiHabari Jf
Leo mida ya saa kumi na Moja Kamili, nikiwa na Bajaj yangu kazini.. natoka mji Mwema kwenda ferry kigamboni...
Ila Nahisi jicho moja hakuna humu mana nimetoa kiooPole sana, ila kabla ya Bima kubwa na kurudi kazini, angalia swala la afya, usione shida kutumia akiba kwa ajili ya afya, maana hiyo afya ndo imekupa hiyo akiba.