Nimepata ajali jana maeneo ya Kawe

Mwachiluwi

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2022
Posts
33,977
Reaction score
67,598
Ndugu za mwamko,

Kwa upande wangu ni mbaya nimepata ajali jana wakati natokea Kidimbwi wakati narudi home.

Ilikuwa hivi, nimetoka pale naelekea kwenye parking; wakati natembea nikaona gari inakuja nyuma inayumba yumba na kwa mwendo kasi, nikawa najaribu kuikwepa ndipo iliponizoa na kunirusha huko.

Sijaumia sana lakini, naendelea vizuri kidogo.
 
Dereva alikuwa mlevi au?
Ulienda hospital au la?
Walisimama au walikimbia?
 
Dereva alikuwa mlevi au?
Ulienda hospital au la?
Walisimama au walikimbia?

Dereva alikuwa mlevi akawa amekimbia baada ya muda nilimuona boda boda ambaye alikuwa anamfukuza akanipeleka sehemu ambako gari lilonigonga limekwama mbele alipata ajali tena.

Kufika pale nikakutana na polisi wanapima nikatoa maelezo yangu ila cha ajabu yule dereva alitoroshwa pale na boda ambae amenionesha.
 
Picha
 
Kah🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…