miss pablo
JF-Expert Member
- Jul 9, 2018
- 5,409
- 11,053
Sijui nitakuongopea japo najua bri zimetofautiana. Kuna ya mpk laki 5 niliona supermarket kama sikosei. Mkuu unataka uhamishie warembo wote table yako?Anhaaa ile ambayo class bei gani?

kwani umeshauza mavuno mzee?