Nimepapenda humu!


YNNAH

YNNAH

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2011
Messages
1,681
Likes
70
Points
145
YNNAH

YNNAH

JF-Expert Member
Joined Dec 6, 2011
1,681 70 145
Humu nimekuwa mpita njia tu. Nimevutiwa na hiyo welkamingi remaki yenu wandugu! Yaani inashawishi mtu kuja kujiunga. Nafikiria kuleta maombi yangu rasmi. Naamini nitakubaliwa!!!
Hatuna desturi ya kukataa mtu...
 
Lady doctor

Lady doctor

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2013
Messages
8,762
Likes
64
Points
0
Lady doctor

Lady doctor

JF-Expert Member
Joined Apr 13, 2013
8,762 64 0
bebiii wewe si muke ya mutu?

bathi kama uko thingo tuambiane hata kwa minong'ono!!
hivi mi kumbe ni muke ya mutu oopss, unajua nilipata ajali network yote ya kichwa haipatikani, hebu nikumbushe mume wangu ni nani vile?
 
Heaven on Earth

Heaven on Earth

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2013
Messages
37,142
Likes
5,640
Points
280
Heaven on Earth

Heaven on Earth

JF-Expert Member
Joined Mar 21, 2013
37,142 5,640 280
hivi mi kumbe ni muke ya mutu oopss, unajua nilipata ajali network yote ya kichwa haipatikani, hebu nikumbushe mume wangu ni nani vile?
Mume wetu kasahaulika oupssssss Mume wako......
 
Valentina

Valentina

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2013
Messages
20,808
Likes
16,613
Points
280
Valentina

Valentina

JF-Expert Member
Joined Oct 12, 2013
20,808 16,613 280
hivi mi kumbe ni muke ya mutu oopss, unajua nilipata ajali network yote ya kichwa haipatikani, hebu nikumbushe mume wangu ni nani vile?
Mke mwenza nini mbaya na wewe?
 
Mamndenyi

Mamndenyi

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2011
Messages
29,425
Likes
7,520
Points
280
Mamndenyi

Mamndenyi

JF-Expert Member
Joined Apr 11, 2011
29,425 7,520 280
Karibu ila uje taratibu kuna baba zako humu
 
kukudume2013

kukudume2013

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2013
Messages
1,495
Likes
305
Points
180
kukudume2013

kukudume2013

JF-Expert Member
Joined Jan 8, 2013
1,495 305 180
Du km huna mume utapata humu kuwa open
 

Forum statistics

Threads 1,274,812
Members 490,813
Posts 30,524,999