Valentina
R I P
- Oct 12, 2013
- 24,688
- 28,850
nataka kuijua familia yangu, kichwa imekata network simkumbuki hata mume mwenzio, hivi nilikuwa na watoto mke mwenza???
Uuuuwi...wewe sio bure, mkono wamtu unahusika hapo,,ngoja nkusaidie kumtafuta mchawi wako aise