Nimepapenda humu!

Sasa Member akishatawazwa humu si mtoto tena ! Utotoutoto unauacha huko mafesbuku !
Unan'skia Preety ?
We ushadiklea unachokipenda ni jamvi .
Sasa ngoja waje mavijana yangu nayo yakupe mistari yatapenda nini kwako !
Hapa kusaulishwa kabati kutoka eneo lake kupelekwa ugokoni ni kwa kufikia tu!
Ushan'fahamu ?
 
Last edited by a moderator:
Humu nimekuwa mpita njia tu. Nimevutiwa na hiyo welkamingi remaki yenu wandugu! Yaani inashawishi mtu kuja kujiunga. Nafikiria kuleta maombi yangu rasmi. Naamini nitakubaliwa!!!
 
Sasa Member akishatawazwa humu si mtoto tena ! Utotoutoto unauacha huko mafesbuku !
Unan'skia Preety ?
We ushadiklea unachokipenda ni jamvi .
Sasa ngoja waje mavijana yangu nayo yakupe mistari yatapenda nini kwako !
Hapa kusaulishwa kabati kutoka eneo lake kupelekwa ugokoni ni kwa kufikia tu!
Ushan'fahamu ?

Shakufaham haswaa,
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom