YNNAH
JF-Expert Member
- Dec 6, 2011
- 1,702
- 969
Kwani unataka kunikagua pia?
Koh koh koh koh....
Kwani unataka kunikagua pia?
umemjibu vizuri sana huyu loya Ruttashobolwa,,,,,,,,,,,,sijui kwa ninihatulii kwa my akanana wake Passion Lady
bora uwaambie maana wananichanganyia habari honey mara Arusha one, arusha1 kisa tu nimewaambia nimepoteza kumbukumbu
cc: mkiva, I am Strong
hahahaaa!!muacheni Ruttashobolwa wangu
jamani,hata afanye nini nampenda tuuuu!!
umeona babe sosoliso kanisifu eti nimemuita vizuri?
nimeona mamiii haya unajisikiaje sasa kuambiwa vile?!?!?