Nimepapenda Dodoma

Nimepapenda Dodoma

mwananchi_official_1652359114173895.jpg
 
Of course, Dodoma inakuwa sana.

Na sasa hivi serikali ipo huko.

Bahati nzuri, Dodoma kulikuwa na CDA enzi hizo, walijitahidi sana kupima ardhi,.maeneo mengi yameepimwa.

Ila wakati Niko huko kulikuwa na kesi Mahakamani kama 1,000 za ardhi Kati ya Wananchi na CDA.
 
Dodoma pakavu sana mji vumbi tupu bidhaa bei juu hta kabla ya vita vya urusi na Ukraine,
 
Jiji tamu sana hilo hasa ukute vyuo havijafungwa yaani huduma muhimu ni uhakika 100%.
 
Back
Top Bottom