Nimepangiwa mabibo hostel, nataka mtu wa kubadilishana naye

Rashidi7

JF-Expert Member
Jul 25, 2018
610
205
Habari! mimi ni mdahiliwa katika chuo kikuu cha Dar es salaam,nimepangiwa mabibo hostel, nataka mtu wa kubadilishana naye mimi niende campus hall yeye aende mabibo, Asante.
 
Kuna siku ulijifanya unanibishia kuhusu CPA kumbe ndo kwanza first year duh, Aya kijana hongera pia kwa kuchaguliwa udsm, shule njema aseh
Unajua ule ubishi ulikuwaje??? unajua sifa za mtu kuanza CPA??? au unafikiri CPA ni kufanya hadi uwe 100th year chuoni??
 
Akili za mavi,kwani humu hakuna first year wa UDSM au unafikiria maka......o??
Hebu tuondolee uzwazwa hapa, kwa hiyo hapa ndio umeona ubao wa matangazo yenu ya chuo? Wanachuo wa vyuo vyote wakianza kutoa matangazo yao humu patakalika? Mkiachwa nyinyi mtasababiaha hadi macr wenu waanze kutangaza ratiba za test humu JF. Hebu tuondolee ujinga humu
 
Back
Top Bottom