Kontena za kutunzia na kuivishia ndizi

passion_amo1

JF-Expert Member
Dec 3, 2023
1,578
3,148
Wakuu habari za uzima?

Natumai ni wazima wa afya, Nilikuwa naomba kufahamu mtu mwenye ufahamu na yale makontena ya kuivishia na kuhifadhia ndizi.

nimeona Dar es salaam hii biashara lakini nataka kuangalia fursa katika mikoa nje na dar-es-salaam.

Karibuni kwa wenye ufahamu na biashara hii.
 
Ngoja waje
 
wa daslam bhana.. badala ya kumuelewesha atapata wp kontena mnasema ngoja waje, mnaweka kambi! hii sio sawa
 
Komtena za kuivishia ndizi zinkuaga na fridge zilee. Kama uko dar tembelea mabibo utaipata dodoso. Mana Kuna jamaa nasikia za kwake kaziweka kigogo pale
 
Back
Top Bottom