Nimepanga kwenda kuishi Msituni/Porini sana

Mimi napenda mlimani
 
Njombe kijiji gani?
 
Hayo ndio maisha ya ukweli mzee, unaambiwa kiishia katika miji ambayo tayari imesha jenga na kuendelezwa basi unaishi katika mipangi ya wengine , lakini kwa style yako mzee ulimwengu ni wako a utafurahia uumbali wa mungu ki halisia kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…