Nimepanga kumpa mpenzi wangu nusu ya mshahara

Nimepanga kumpa mpenzi wangu nusu ya mshahara

Fina unajua nimeongea kwa sauti ndogo mnoooo...imekuwaje umesikia mama 😅😅😅haki inabidi nianze kujitafakari na kutafuta namna mpya ya kunong’oneza
Hahaa! Ila uko vizuri kwenye kuongea sauti ndogo bila mtu kushtuka aisee! Vipi siye wewe unayeenda kupewa hiyo half salary wewe😀😀
 
Mpe tu binti wa watu afurahi maana dah hali ya uchumi sio POA.
 
UNGEKUWA UNAMPENDA KWELI UNGEMPA WOTE.....ila zingatia ushauri unaopewa JF...Demu = tambara la kupangusia miguu....
 
hatuwezi pingana na maamuzi yako
Mpe ikibidi na 1200 mkatie mpe
 
Back
Top Bottom