Babumawe
JF-Expert Member
- Sep 12, 2014
- 2,585
- 2,669
- Thread starter
- #61
Ulikuwa unataka kusema nini sasa?We mtu unafungua nyuzi sana sijui ushamba!!
Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
Ulikuwa unataka kusema nini sasa?We mtu unafungua nyuzi sana sijui ushamba!!
Seven digitsHuo mshahara wako ni shilingi ngapi vile? Isije ikawa unalipwa 10k mkuu
Mama yako aliekuzaa ushawahi kumfanyia jambo Kama hilo au linalozidi hilo?Mimi babumawe nikiwa na akili zangu timamu kabisa for the first time nimepanga kumpa manzi wangu nusu ya mshahara wa mwezi huu.
Sababu na chanzo kinachopelekea kufanya maamuzi haya ni kumuonesha jinsi gani namthamini kwani amekuwa mtu msikivu na mvumilivu kwangu hasa mara zote kwenye masuala yanayohusu hela,
Amekuwa mtu ambaye hata nikimwambia sina basi msikivu na sio mtu wa kununa, mara zote ni mtu wa kuwa na subira SO SHE DESERVE
Mwoe kwanza mkuu. Kama haujamwoa itakula kwako. Umeshajenga? Una kiwanja? Save hela yako ufanya hayo kwanza kama haujafanya. Hao utaacha kufanya mambo yako umhudumie ila mwisho wa siku ATAKUANGUSHA VIBAYA MNO NA UTAJUTAMimi babumawe nikiwa na akili zangu timamu kabisa for the first time nimepanga kumpa manzi wangu nusu ya mshahara wa mwezi huu.
Sababu na chanzo kinachopelekea kufanya maamuzi haya ni kumuonesha jinsi gani namthamini kwani amekuwa mtu msikivu na mvumilivu kwangu hasa mara zote kwenye masuala yanayohusu hela,
Amekuwa mtu ambaye hata nikimwambia sina basi msikivu na sio mtu wa kununa, mara zote ni mtu wa kuwa na subira SO SHE DESERVE
Ushatujibu swaliHatakama sijamkuta bikra naimani ana subira ya hali ya juu kuliko hata mwingine ambaye ningemkuta bikra
Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
Psssst !! Uwe unatoa kimya kimya ili mambo yaki change pia ni unajikuta unaumia kimya kimya .Mimi babumawe nikiwa na akili zangu timamu kabisa for the first time nimepanga kumpa manzi wangu nusu ya mshahara wa mwezi huu.
Sababu na chanzo kinachopelekea kufanya maamuzi haya ni kumuonesha jinsi gani namthamini kwani amekuwa mtu msikivu na mvumilivu kwangu hasa mara zote kwenye masuala yanayohusu hela,
Amekuwa mtu ambaye hata nikimwambia sina basi msikivu na sio mtu wa kununa, mara zote ni mtu wa kuwa na subira SO SHE DESERVE
MkumbusheTatizo mpnz Wangu hi ahadi ulitoa mwezi wa nne 2020.....hadi.leo.ni.mpango TU.
NotedPsssst !! Uwe unatoa kimya kimya ili mambo yaki change pia ni unajikuta unaumia kimya kimya .
sahihi kabisa ebu mpe shule huyo maana naona hajitambu eti ananivumilia angekuwa ni mke angefanyaje si angempa msahara wote, tena watu kama hao mama yake mzazi akiomba hata shilingi elfu ishirini hampi.Emu panga siku moja umpe nusu ya mshahara yule mvumilivu aliyekuweka tumboni miezi tisa akakuvumilia,siku kadhaa za kukunyonyesha na kukukulea mpaka ukakua akakuvumilia,
naomba jaribu kufanya hivyo siku moja mkuu
Alafu mwanamke wako lazima awe mvumilivu tu kwa sababu anajua kuna mwisho wa mwezi bila wasiwasi mkwanja unaingia,kwa hiyo kwa nini asiwe mvumilivu wakati anauhakika mtu unakazi yako ?
Ingekuwa wewe akina sie wabangaizaji wazee wa vibarua leo unapata kesho hupati japo kidogo ingeleta mantiki
Hapo hata ukimpa robo haondoki mkuu