Nimepanga kumpa mpenzi wangu nusu ya mshahara

Hivi mpunga umeshatoka.nani ajitokeze anipe nusu mshahara wake jamani
 
Punguza sauti baba.😅😅
Hahahahahahhhhh hatari sana Chakorii. Huwa wakati mwingine mnazingua sana. Unakuta jamaa yako anapitia magumu kutafuta pesa na wakati mwingine ana-risk maisha yake apate pesa ili uendelee kufurahia maisha ila tukiwapatia unakuta manawapelekea manaowapenda. Tena unayemplekea unakuta anakuendesha hatari.
 
Dogo huna kazi za kufanya?? Mbona unafungua nyuzi nyingi sana hapa JF
 
Hahahahahahhhhh hatari sana Chakorii. Huwa wakati mwingine mnazingua sana. Unakuta jamaa yako anapitia magumu kutafuta pesa na wakati mwingine ana-risk maisha yake apate pesa ili uendelee kufurahia maisha ila tukiwapatia unakuta manawapelekea manaowapenda. Tena unayemplekea unakuta anakuendesha hatari.
Ndo maisha lakini J...😅😅hata nyie mko hivyo hivyo mnatuvuruga kinyama yani.

Habari ya siku lakini..unaendeleaje
 
Back
Top Bottom