Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,785
- 51,534
🧚♀️🧚♀️🧚♀️🥂🥂🥂Sawa J wangu.
🧚♀️🧚♀️🧚♀️🥂🥂🥂Sawa J wangu.
Mimi babumawe nikiwa na akili zangu timamu kabisa for the first time nimepanga kumpa manzi wangu nusu ya mshahara wa mwezi huu.
Sababu na chanzo kinachopelekea kufanya maamuzi haya ni kumuonesha jinsi gani namthamini kwani amekuwa mtu msikivu na mvumilivu kwangu hasa mara zote kwenye masuala yanayohusu hela,
Amekuwa mtu ambaye hata nikimwambia sina basi msikivu na sio mtu wa kununa, mara zote ni mtu wa kuwa na subira SO SHE DESERVE
Hatakama sijamkuta bikra naimani ana subira ya hali ya juu kuliko hata mwingine ambaye ningemkuta bikraUlimkuta bikra??
Kama hapana, pitia nyuzi za Jokajeusi
Yeye anasimama daraja lake na huyu anasimama daraja lakeEmu panga siku moja umpe nusu ya mshahara yule mvumilivu aliyekuweka tumboni miezi tisa,siku kadhaa za kukunyonyesha na kukukulea mpaka ukakua,naomba jaribu kufanya hivyo siku moja mkuu
Hapana mkuu nampa nusu anastahili kwa hili na sitojutiaKama ni mke mpe mshahara wote kabisa, kama demu tu mhudumie mahitaji muhimu
I agreeMpe 3/4 kabisa Mkuu, sisi wanaume hatunaga mambo mengi, 1/4 inakutosha kabisa mpaka mshahara ujao.
Hapana nusu nitafanya mahitaji yangu mengineBabu mawe hayo mawe yako nimeyakubali..turudi kwenye mada nusu nyingine unampelekea mama alie kuzaa au?
Maamuzi niliyapanga siwezi kujutia hata siku mojaAlafu siku sio nyingi uje humu kutulilia ukiomba ushauri.
Namwanini na ananiaminiMpe tu ili akale na mpezi wake anayempenda mkuu.
Mwanamke mwerevu ni bidhaa adimu kaka i agreeMpe ht mshahara wote
mwanamke mwerevu ni bidhaa adimu
Mpe na moyo wako woteMimi babumawe nikiwa na akili zangu timamu kabisa for the first time nimepanga kumpa manzi wangu nusu ya mshahara wa mwezi huu.
Sababu na chanzo kinachopelekea kufanya maamuzi haya ni kumuonesha jinsi gani namthamini kwani amekuwa mtu msikivu na mvumilivu kwangu hasa mara zote kwenye masuala yanayohusu hela,
Amekuwa mtu ambaye hata nikimwambia sina basi msikivu na sio mtu wa kununa, mara zote ni mtu wa kuwa na subira SO SHE DESERVE
Hatujakataa.Yeye anasimama daraja lake na huyu anasimama daraja lake
Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
Mpaka hapa nathibitisha kwamba somo la Jokajeusi halijaeleweka bado.Hatakama sijamkuta bikra naimani ana subira ya hali ya juu kuliko hata mwingine ambaye ningemkuta bikra
Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
Sijui hata kama hayo mawazo , ulishawahi kuyafikiria kwa kuwapa hata robo Ya mshahara wako , wazazi wako , hebu wape wazazi wako watashukuru na kukuombea zaidi ,Mimi babumawe nikiwa na akili zangu timamu kabisa for the first time nimepanga kumpa manzi wangu nusu ya mshahara wa mwezi huu.
Sababu na chanzo kinachopelekea kufanya maamuzi haya ni kumuonesha jinsi gani namthamini kwani amekuwa mtu msikivu na mvumilivu kwangu hasa mara zote kwenye masuala yanayohusu hela,
Amekuwa mtu ambaye hata nikimwambia sina basi msikivu na sio mtu wa kununa, mara zote ni mtu wa kuwa na subira SO SHE DESERVE
Halafu atanipa mimiMimi babumawe nikiwa na akili zangu timamu kabisa for the first time nimepanga kumpa manzi wangu nusu ya mshahara wa mwezi huu.