Valenciaga
Member
- Jul 4, 2020
- 44
- 61
2024 nitaacha kusoma nyuzi za kipuuzi.Habari wadau
Na mshukuru mungu, kunifikisha December salama , mwaka huu mwanzoni mwa mwaka huu niliweka malengo ya kuacha pombe, na kweli tokea tarehe 01-01-2023 sijanywa pombe Wala sitamani.
Itakapofika tarehe 01-01-2024
Nataka niache
(01)kunywa soda
(02) nataka nikae mwaka mzima bila kufanya sex, bila kuwa na mwanamke, bila kununua malaya, bila kupiga puli. Kwani mambo haya yanakula muda wangu mwingi. pesa nyingi sana mwaka huu nimetumia kwa kuhonga, na kununua k
(03) nataka niachane na smartphone naifungia Hadi December 30 2024, hii imekuwa ikinipotezea muda na fedha pia, natumia wastani 70k kwa ajili ya internet kwa mwezi. Pia itanisaidia kutimiza lengo langu namba 02
Eeh mungu nisaidie
Soda binafsi nimeweza tangu mwezi wa Saba mwaka huu sijanywa , nilikuwa mlevi wa Pepsi,now hata weight imepungua kidogo....... sukari nimepunguza kwa kiasi kikubwa.....kuna positive changes nazionaHabari wadau
Na mshukuru mungu, kunifikisha December salama , mwaka huu mwanzoni mwa mwaka huu niliweka malengo ya kuacha pombe, na kweli tokea tarehe 01-01-2023 sijanywa pombe Wala sitamani.
Itakapofika tarehe 01-01-2024
Nataka niache
(01)kunywa soda
(02) nataka nikae mwaka mzima bila kufanya sex, bila kuwa na mwanamke, bila kununua malaya, bila kupiga puli. Kwani mambo haya yanakula muda wangu mwingi. pesa nyingi sana mwaka huu nimetumia kwa kuhonga, na kununua k
(03) nataka niachane na smartphone naifungia Hadi December 30 2024, hii imekuwa ikinipotezea muda na fedha pia, natumia wastani 70k kwa ajili ya internet kwa mwezi. Pia itanisaidia kutimiza lengo langu namba 02
Eeh mungu nisaidie
Asante sana kwa kunitia moyo
Kupanga ni kuchagua, unahitaji nidhamu binafsi ya hali ya juu kutimiza hayo malengo.
Aisee ipo sawa kabisaa, huo ushetani namba (03) utakuondolea hilo pepo namba (02)Habari wadau
Na mshukuru mungu, kunifikisha December salama , mwaka huu mwanzoni mwa mwaka huu niliweka malengo ya kuacha pombe, na kweli tokea tarehe 01-01-2023 sijanywa pombe Wala sitamani.
Itakapofika tarehe 01-01-2024
Nataka niache
(01)kunywa soda
(02) nataka nikae mwaka mzima bila kufanya sex, bila kuwa na mwanamke, bila kununua malaya, bila kupiga puli. Kwani mambo haya yanakula muda wangu mwingi. pesa nyingi sana mwaka huu nimetumia kwa kuhonga, na kununua k
(03) nataka niachane na smartphone naifungia Hadi December 30 2024, hii imekuwa ikinipotezea muda na fedha pia, natumia wastani 70k kwa ajili ya internet kwa mwezi. Pia itanisaidia kutimiza lengo langu namba 02
Eeh mungu nisaidie
Naacha kabisaPunguza, usiache kabisa.
Wewe ni mpenda starehe na anasa, pesa ulizotakiwa kulewea mwaka huu, umenunulia malaya. Ukiacha malaya utatafuta tu means nyingine ya kuburudisha mwili wako.
Mrudue muumba wako yote hayo yatakua historia.
Nijifungie ndani iliiwejeMkuu hongera kwa kujiwekea vikwazo,2025 usitoke nje jifungie ndani mwaka mzima
Unaachaje kusoma nyuzi za kipuuzi ss wakati wewe ni kubwa la wapuuzi na hapa umecoment upuuzi2024 nitaacha kusoma nyuzi za kipuuzi.
Na kweli ni mateso ila nitaweza tuNAKUTAKIA KILA LA KHERI KWENYE KUJITESA KWAKO.
KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Kuwa na heshima na cheo changu tukuka. Hao wapuuzi unawajua wewe mkuu, mimi ni mkuu wa mazuzu. Kuna tofauti kubwa sana kati ya wapuuzi na mazuzu.Unaachaje kusoma nyuzi za kipuuzi ss wakati wewe ni kubwa la wapuuzi na hapa umecoment upuuzi
03) Hapo kwangu kamwe siwezi kuacha hata kama itatokea nikatumia 5M kwa mwezi.Habari wadau
Na mshukuru mungu, kunifikisha December salama , mwaka huu mwanzoni mwa mwaka huu niliweka malengo ya kuacha pombe, na kweli tokea tarehe 01-01-2023 sijanywa pombe Wala sitamani.
Itakapofika tarehe 01-01-2024
Nataka niache
(01)kunywa soda
(02) nataka nikae mwaka mzima bila kufanya sex, bila kuwa na mwanamke, bila kununua malaya, bila kupiga puli. Kwani mambo haya yanakula muda wangu mwingi. pesa nyingi sana mwaka huu nimetumia kwa kuhonga, na kununua k
(03) nataka niachane na smartphone naifungia Hadi December 30 2024, hii imekuwa ikinipotezea muda na fedha pia, natumia wastani 70k kwa ajili ya internet kwa mwezi. Pia itanisaidia kutimiza lengo langu namba 02
Eeh mungu nisaidie
Nitaoa mwaka 25 mwaka huu na malengo mengine kabisaHongera sana! Lakini ungewaza kuoa mke akusaidie katika mengi,vinginevyo hiyo no.2 itazidi kukunyemelea!
Happy New year!
Nataka ni focus kwenye kazi asilimia 1002...arosto arosto noma Sanaa. Tabia ulozoea kuiacha ghafla waweza pata sonona ama changamoto ya Afya ya akili