Nimeoteshwa

Nimeoteshwa

Yo Yo

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2008
Posts
11,210
Reaction score
1,738
Wakuu wenzangu kwa heshima na taadhima na mie napenda kuwaambia nimeoyeshwa rasmi...nitaaanza kutoa kikombe kwa Tsh 250/= taslimu pale jangwani effective from jumatatu.
 
hahaaaaaa CCM wanafurahia sana hali ya kuoteshwa maana kubanwa kwao kumepungua kabisa watu wamesahau siasa na joto la siasa limepungua kumbe tukiwa bize mambo mengine tunasahau
 
Haya bana,vp soko limekaaje mkuu?Maana kwa yule wa Rombo sh.100/=Loliondo 500/= yule wa Chahua Chalinze_pwan sh 270 yule Bibi wa Tabora nae plus dogo wa mbeya bure anyway angalia vizuri hapo kwenye bei mkuu. Angalizo .Naamini hautakosa vichwa ,ila tafadharini msije ku2maliza badala ya ku2ponya.Wish u al the best.😛anda::
 
Hahahahaha unaweza ukafunga Jangwani nzima kwa kula vichwa
 
hahaaaaaa CCM wanafurahia sana hali ya kuoteshwa maana kubanwa kwao kumepungua kabisa watu wamesahau siasa na joto la siasa limepungua kumbe tukiwa bize mambo mengine tunasahau

Wasikilizie 2015 watasema sera nzuri za afya ambazo zipo katika llani ya uchaguzi zimewezesha manabii mbali mbali kuwezeshwa na kutibu wagonjwa kwa gharama nafuu ya jelo bila kutozwa kodi.
 
Mtaota sana , kwa maisha haya!
 
yangu macho! Mwaka huu km wa2 watanyweshwa mpk THUMU!!
 
Haya bana,vp soko limekaaje mkuu?Maana kwa yule wa Rombo sh.100/=Loliondo 500/= yule wa Chahua Chalinze_pwan sh 270 yule Bibi wa Tabora nae plus dogo wa mbeya bure anyway angalia vizuri hapo kwenye bei mkuu. Angalizo .Naamini hautakosa vichwa ,ila tafadharini msije ku2maliza badala ya ku2ponya.Wish u al the best.😛anda::
hapana mkuu nimeambiwa naweza kupunguza kutokana na maelezo nitakayopewa.....karibuni wapendwa
 
Wakuu wenzangu kwa heshima na taadhima na mie napenda kuwaambia nimeoyeshwa rasmi...nitaaanza kutoa kikombe kwa Tsh 250/= taslimu pale jangwani effective from jumatatu.

Gharama yake fanya jiti tu Yo Yo ili Jangwani kufurike!!..usije ukawa umeota lakini🙂)
 
sina fixed price ndoto yangu sikuambiwa bei iwe hiyo tu....la hasha itashuka naweza kuifanya hata 20 inategemea na wagonjwa wangapi nitapata....karibuni
 
Mkuu we unatakiwa utoke kivingine unajua niaje?ingia mikataba na wadau wanaodeal na watengenezaji wa soda,maji hata juice ili ichanganywe humo na kila kwenye lt moja unadaka Tsh 50/= yako zidisha mara idadi mara muda jamaangu utapiga hela hadi kichwa ishike moto.
 
Mimi nitakuwa mmoja wa watakaokunywa dawa yako - naamini mwanJF mwenzetu hawezi kutudanganya.
 
Halahala usijetunywesha yale maji meusi ya mto Msimbazi?
 
Back
Top Bottom