Hi ni siku ya nne mfululizo naoteshwa eti nimuoe lara1
Huyo lara1 mwenyewe hata siku moja sijawahi kumuona.
Nimemuuliza muoteshaji kwamba mbona nikisoma post za huyo binti ni kama anapenda sana hela! Jibu nililopewa ni kwamba eti zile post zake ni mbwembwe za kwenye keybord tu.
Sina jinsi imebidi nikubali.
Mfikishieni ujumbe huu popote alipo