Hahahahaha DREAM AIRLINESOngera soon mtafungua pia shirika lenu la ndege
Welcome aboardIlikuwa na safari nzuri sana japo kuna wakati yale mafeni tuliyokuwa tunayatumia kupaa yalikuwa yanagoma kuzunguka ila kabla hatujadondoka yanazunguka tena huku mke wangu akiwa na mtoto mgongoni
tulienda kutua kwenye mji mmoja ambao nilona kuna fremu nyingi za biashara huku kukiwa na biashara za maana ndani yake lakini hakukuwa na wateja huku wauzaji wengi wakionekana kuchoka na kulala
Hii ndoto ina maana gani wadau