Tucheze tu ushindi ni uhakikaHatuchezi 🦁
Sawa ota tena leo labda utaota wamefunga 10.Mimi sio shabiki maandazi wala sio shabiki lia lia wa simba ila jana nimeota simba akiibuka na ushindi wa 3 bila.
Wanayanga mjiandae kwa lolote na msikariri kwamba mtaifunga simba mechi ijayo kisa mliwahi kuwafunga 5-1.
Amka, utamwaga kojo!Mimi sio shabiki maandazi wala sio shabiki lia lia wa simba ila jana nimeota simba akiibuka na ushindi wa 3 bila.
Wanayanga mjiandae kwa lolote na msikariri kwamba mtaifunga simba mechi ijayo kisa mliwahi kuwafunga 5-1.
Simba to win and +2.5 uhakika hiyo.Labda bao 3 za chaputa, wakipeleka timu uwanjani wanakula 5 bila
Endelea kukariri mpira utawapa somoKolo msimu huu halambi kitu
Pengine kweli maana yanga imekuwa mlenda sanaMimi sio shabiki maandazi wala sio shabiki lia lia wa simba ila jana nimeota simba akiibuka na ushindi wa 3 bila.
Wanayanga mjiandae kwa lolote na msikariri kwamba mtaifunga simba mechi ijayo kisa mliwahi kuwafunga 5-1.
amka wewe kabla hujalowesha godoroMimi sio shabiki maandazi wala sio shabiki lia lia wa simba ila jana nimeota simba akiibuka na ushindi wa 3 bila.
Wanayanga mjiandae kwa lolote na msikariri kwamba mtaifunga simba mechi ijayo kisa mliwahi kuwafunga 5-1.