Lupamba's grandson
JF-Expert Member
- Jan 9, 2015
- 1,232
- 1,196
Nimeota usiku wa kuamkia leo nimeenda kumsalimia kamanda Lema. Tukaongea mengi ila mwisho aliniambia, "usione niko hapa ndani ni kwa makusudi, maana yaonekana niwekwe humu mpaka nije kupoteza sifa ya uongozi nilionao na hata kuja kutaka kugombea tena yani nikae zaidi ya miezi sita then ndio waniachie.na lengo kubwa ni kuchukua jimbo."
Nilijisikia vibaya sana then tuliagana, basi nilishtuka kuangalia saa ilikuwa yapata sa kumi alfajiri. Sikupata tena usingizi mpaka saa hizi natafakari hyo ndoto ina maana gani.
Nilijisikia vibaya sana then tuliagana, basi nilishtuka kuangalia saa ilikuwa yapata sa kumi alfajiri. Sikupata tena usingizi mpaka saa hizi natafakari hyo ndoto ina maana gani.