Mheshimiwa hakimu, nakupongeza kwa uwamuzi wako.Wakuu nimeota ndoto kuwa kuna Mbunge atakula mvua wiki ijayo Na bahati mbaya imejirudia zaidi ya Mara 3 na kila nikilazimisha ndoto isikate ili ning'amue ni nani usingizi unakata ,tuombeane uzima kukuche salama labda kitendawili kitateguka.
Yasije yakakuta yaliyomkuta lemaWakuu nimeota ndoto kuwa kuna Mbunge atakula mvua wiki ijayo Na bahati mbaya imejirudia zaidi ya Mara 3 na kila nikilazimisha ndoto isikate ili ning'amue ni nani usingizi unakata ,tuombeane uzima kukuche salama labda kitendawili kitateguka.
Mpatilizwe uovu huu!!Mkuu sitaki tena kung'amua ndoto zangu watu wananiandama sana
Mheshimiwa hakimu, rufaa vipi inakubaliwa??Nabii kamwe hakubaliki kwao leo Mimi kilaza naitwa hakimu
Wakati anatujulisha kwa Mara ya kwanza jumapili ile, tulimwita, muongo, amelala bila kula, na ameshindia viroba!....Leo yametimia tunamgeuzia kibao eti yeye ni hakimu, MTU wa system, jaji, na anandugu yake ktk serikali kwamba wanamnyetishia habari! Ha ha ha sisi watanzania no viumbe adimu sana kupatikana duniani, maana hatuwazi na kufikiri kama binadamu wengine. Utashangaa [HASHTAG]#Melo[/HASHTAG] aratafutwa atoe taarifa za mzushiSiyo bure wewe ni mmoja wa hao majaji/ hakimu au wazee wa mahakama (talishi).
Asante mkuu kwa kunielewa watanzania sisi watu wa ajabu sanaWakati anatujulisha kwa Mara ya kwanza jumapili ile, tulimwita, muongo, amelala bila kula, na ameshindia viroba!....Leo yametimia tunamgeuzia kibao eti yeye ni hakimu, MTU wa system, jaji, na anandugu yake ktk serikali kwamba wanamnyetishia habari! Ha ha ha sisi watanzania no viumbe adimu sana kupatikana duniani, maana hatuwazi na kufikiri kama binadamu wengine. Utashangaa [HASHTAG]#Melo[/HASHTAG] aratafutwa atoe taarifa za mzushi
Nabii hakubaliki kwao sishangai maneno yako mkuu
Nyamaza mtoto wa juzi.Eti haijawahi kutokea mbunge kufungwa!Vitoto vya juzi tu halafu mnajifanya mnafamu kila kitu!Pyuuuu!!Toka Tanzania ipate Uhuru sijawahi kusikia mbunge kafungwa
Ila hii imevunja record na hii inanipa mashaka sana na mahakama za Tanzania kwamba zinatumika kisiasa.
Kuna taarifa kuwa Mbunge wa chadema amehukumiwa miezi sita jela. Ndoto yake ilikua ya kweli.Nyamaza mtoto wa juzi.Eti haijawahi kutokea mbunge kufungwa!Vitoto vya juzi tu halafu mnajifanya mnafamu kila kitu!Pyuuuu!!
Au ni Mfalme Mwenyewe?kweli ww inaonekana ndo unatoa amri kwa mahakama nini wafanye itakuwa ww ndo katiba mpya