Nimeota ndoto kuna Mbunge atakula mvua wiki ijayo

Wakuu nimeota ndoto kuwa kuna Mbunge atakula mvua wiki ijayo Na bahati mbaya imejirudia zaidi ya Mara 3 na kila nikilazimisha ndoto isikate ili ning'amue ni nani usingizi unakata ,tuombeane uzima kukuche salama labda kitendawili kitateguka.
Hii ndoto na toka uanze thread zako 2013 unaota ,ndoto usipotamka hadharani huja kuwa kweli ikitamkwa inabaki ndoto .
 
Wakuu nimeota ndoto kuwa kuna Mbunge atakula mvua wiki ijayo Na bahati mbaya imejirudia zaidi ya Mara 3 na kila nikilazimisha ndoto isikate ili ning'amue ni nani usingizi unakata ,tuombeane uzima kukuche salama labda kitendawili kitateguka.
Mzee upo,TISS nini? Maana info hiyo ni ya ndani sana na ni kweli imetokea
 
Uliota ama ulikuwa kwenye kikao cha mashauriano mmgonge miezi ama miaka miaka mingapi ila mmegonga 6 months
Angesema TB Joshua mngemwaga sifa kemkem ila kasena Mzushi basi imeshakuwa nongwa .mkuu kubalini Na vya kwenu kuota ndoto tu kwangu nimeshakuwa hakimu au mzee wa Baraza.
 
23 Reactions
Reply
Back
Top Bottom