kimunyesam
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 220
- 203
maana yake ni mafanikio.Heheeeeeeheeeeeeeeheeeee haya banah hi baby?
halafu kuhusu jina em subiri niote leo afu kesho nitakupa jibu ataitwa nani,maanake ndo kwanza umenigusia hilo swala so najua leo lazima nitaliota tu jina la mtoto.
Kwa hiyo nikikutongoza mchana ukanipiga chini, usiku ntaota umekufa?
We babu nimekumis mbayaaaa
Chapchap sana twende PM nikakuambie kitu changu.
Ndugu wana JF. Habarini za asubuhi. Nimeota natembea halafu nikapaa sio juu sana kwa muda mrefu. Sasa hii ina maana gani na ni kitu gani husababisha ndoto?
kiroho umeshanyakuliwa, hapo una malizia kifurushi chako cha wiki mpaka kesho.