Nimeota naruka kama ndege

cj21125

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2013
Posts
3,593
Reaction score
3,551
Ndugu wana JF. Habarini za asubuhi. Nimeota natembea halafu nikapaa sio juu sana kwa muda mrefu. Sasa hii ina maana gani na ni kitu gani husababisha ndoto?
 
Hapa ndipo tunapommisi sheikh Yahya.

Ila kama wewe ni he na ukagegeda mke wa mtu, hii ndoto sio nzuri sana kwako.
 
ndoto ni mrudisho wa mawazo,maongezi au matendo yako uliyoyafanya mchana kutwa kwa siku hiyo,fanya uchunguzi,piga sana stori fulani na wenzio siku moja halafu usiku utajikuta unaota yale maongezi na jamaa zako au unaota unafanya mambo mliyoyaongea na jamaa zako au kama ukiwaza sana kuhusu kitu fulani ni rahisi kujikuta usiku ukiota kile ulichokuwa unakifikiria.
 
Imejirudia au ni siku moja tu ndo umeota?
 

Kwa hiyo nikikutongoza mchana ukanipiga chini, usiku ntaota umekufa?
 
haaaaaaahaaaaaaaahaaaaaaaaaa my babu banah umeanza na vituko asubuhi yote hivi?kabala sijajisahau na maneno mengi shkamoo babuuuu halafu back to the topic sasa,ni hivi ukiniaproach mchana jua mi usiku naota umeniaproach nimekukubali afu tunaenda dinner wote,upo hapo?umenielewa sasa?
Kwa hiyo nikikutongoza mchana ukanipiga chini, usiku ntaota umekufa?
 

Shkamoo ntaiitikia Chalinze.

BTT kwenye hiyo ndoto ukipata mimba binti yetu tutamwita nani?
 
Maranyingine ndoto za namna hiyo huwa kama alarm kukuambia "safisha nyumbayako....muda si mrefu Izraeli anakuja kufunga mahesabu"
 

Sio kweli maana kuna watu huwa hawaoti yaliyopita
 
Transition period....unaelekea kuwa popo soon
 
ndugu wana jf. Habarini za asubuhi. Nimeota natembea halafu nikapaa sio juu sana kwa muda mrefu. Sasa hii ina maana gani na ni kitu gani husababisha ndoto?

dreams are vague memories of what we did, saw, or happened to us in the past
 
Ndoto zingine husababishwa na kufanya kitu kwa zaidi eg.shibe iliyopitiliza.
 
Ndugu wana JF. Habarini za asubuhi. Nimeota natembea halafu nikapaa sio juu sana kwa muda mrefu. Sasa hii ina maana gani na ni kitu gani husababisha ndoto?

Ni Dalili Tosha Kwamba Karibu Unakufa Na Kwenda Mbinguni Mithili Ya Ndoto Yako Hivyo Anza Kugawa Urithi, Kutoa Wosia na Kusali Sala Ya Toba Na Ukae Tayari Kwa Israeli Kufanya Kazi Yake Ya Kudedisha........................!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Heheeeeeeheeeeeeeeheeeee haya banah hi baby?

halafu kuhusu jina em subiri niote leo afu kesho nitakupa jibu ataitwa nani,maanake ndo kwanza umenigusia hilo swala so najua leo lazima nitaliota tu jina la mtoto.
Shkamoo ntaiitikia Chalinze.

BTT kwenye hiyo ndoto ukipata mimba binti yetu tutamwita nani?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…