Nimeota napambana na paka mwitu Jeusi la kutisha kwa kupigana nalo kwa muda mrefu. Naomba tafsiri ya hii Ndoto

Umekuwa ukiwindwa kwenye ulimwengu wa roho na unaelekea umenusurika katika jaribio la kukupiga katika roho. Lakini hii haimaanishi kuwa upo salama, umekoswakoswa tu na usipojipanga vizuri unaweza ukapatikana wakati ujao. Unapaswa kujiweka vizuri na Mungu, ushirikina utakufanya ushambuliwe na waovu kirahisi, achana na ushirikina na mtafute Mungu wa Kweli na nguvu zake utakuwa salama.
 
Bwana mdogo elyamuia huu ushauri hapa chini nahisi unaweza kuwa moja ya ushauri mzuri sana wakati unasubiri kutoka kwa wengine.
 
asante ndugu,ila sijihusishi kabisa na Mambo ya Hiza au kishirikina.Huwa Nakua Mtu wa Maombi SaNa labda ndio inapelekea kuwindwa na hawa Watu Waovu.asante kwa majibu
 
samahani pia NduGu kwani endapo ingetokea NimePigwa kupitia Ulimwengu Huo wa Roho nini kitatokea.?
 
samahani pia NduGu kwani endapo ingetokea NimePigwa kupitia Ulimwengu Huo wa Roho nini kitatokea.?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…