Nimeota nanyongwa

Master SM

Member
May 29, 2020
55
54
Habari wanajamii,

Usiku wa kuamkia leo nimeota kitu cha kutisha sana, nimeota kuna mtu ananinyonga shingoni kwa muda wa kama dk 1 hivi nikapambana akakimbia.

Inawezekana nimwana kilinge anajambo lake kwangu.

Msaada wenu nimuhimu dhamiri yake/yao isinipate.
 
Atakuwa ni yule dhalimu mwendazake.

Back
Top Bottom