Adharusi
JF-Expert Member
- Jan 22, 2012
- 14,504
- 7,439
Kuna ndoto huwa zinakuwa na ukweli kiasi fulani
imeshakua sasa
Kuna ndoto huwa zinakuwa na ukweli kiasi fulani
MKUU sembo
Ndoto lazima itimie kama hutoifanyiakazi niliwekahapa nkijuajamaa atasaname hii safari nahisi wamemtasfria vibaya kimemkuta aokolewe na
MKUU sembo
Ndoto lazima itimie kama hutoifanyiakazi niliwekahapa nkijuajamaa atasaname hii safari nahisi wamemtasfria vibaya kimemkuta aokolewe na
Dah kweli nakupa Big up Sheik Yahayha
Ndoto zingine bwana! Hata hivyo kocha kuondoka ni jambo la kawaida tu wala msichekelee sana haya kutokea kwa Yanga. Phiri naye yuko kwenye probation ngoja ligi ianze utaona yatakayomtokea. Mungu ibariki Yanga, Mungu ibariki Simba na Mungu ibariki Tanzania.