Nimeota Maximo kakimbia baada ya miezi mitatu

Nimeota Maximo kakimbia baada ya miezi mitatu

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
62,144
Reaction score
38,541
Naamini ndoto zinatimia kama usipozifanyia kazi

wanayanga endeleeni na maombi nimeota jamaa amevurugana. Na uongozi akaitsha press kama jana


usiku akaondoka na kenya airways
 
Soccer managers are hired to be fired, hata yeye analijua hilo
 
Naamini ndoto zinatimia kama usipozifanyia kazi

wanayanga endeleeni na maombi nimeota jamaa amevurugana. Na uongozi akaitsha press kama jana


usiku akaondoka na kenya airways

Ukiitwa lufundisha Yanga au simba usibebe nguo na begi beba chache tu na usimuage mkeo au familia yako kwani saa yeyote utajikuta kwenu.
 
Ukiitwa lufundisha Yanga au simba usibebe nguo na begi beba chache tu na usimuage mkeo au familia yako kwani saa yeyote utajikuta kwenu.

Hahaaaaa umenichekesha aliitwa Yule wa mbeya city simba akakubali kila kitu. AMEFIKA MBEYA AKAAWAPIGIIA SIMU BABAKE AMESEMA ATAMLAANI AKIJA SIMBA KUMBE ANAOGOPA KUJA NA NGUO TANO
 
Mambo ya Adui muombee njaa ila dua ya kuku haimpati mwewe.
 
Naamini ndoto zinatimia kama usipozifanyia kazi

wanayanga endeleeni na maombi nimeota jamaa amevurugana. Na uongozi akaitsha press kama jana


usiku akaondoka na kenya airways
Nimeota unatoa uzi huu ukiwa wodini Mirembe.
 
Ukiitwa lufundisha Yanga au simba usibebe nguo na begi beba chache tu na usimuage mkeo au familia yako kwani saa yeyote utajikuta kwenu.

Kwa wanaofatilia mpira makocha dunia nzima wanafukuzwa.Barca,Man United,AC Milan na nyingine zimetimua makocha msimu uliopita
 
Acha umbea,atakuja Mcoratia si hela ipo.
Tulia dawa ukuingie NDOTO kiele-ele
 
Naamini ndoto zinatimia kama usipozifanyia kazi

wanayanga endeleeni na maombi nimeota jamaa amevurugana. Na uongozi akaitsha press kama jana


usiku akaondoka na kenya airways

Nimeota Aveva ameteuliwa kuwa Katibu Mkuu WA Young Africans.....na amekubali uteuzi huo kwa Shingo upande......
 
Maximo amefanya kosa kubwa sana sana kukubali kufundisha yanga, legacy yake inaenda kupotea mapema sana. Simba na Yanga ni timu zinazoendeshwa kwa ubabaishaji.......subirini mtaona miezi 3 ni mingi sana.
 
Mkuu Pdidy hatimaye ndoto yako imetimia, jamaa katimuliwa baada ya kutibuana na viongozi. Vipi kuhusu huyu kocha wao mpya, haujaota chochote?
 
Last edited by a moderator:
MKUU sembo

Ndoto lazima itimie kama hutoifanyiakazi niliwekahapa nkijuajamaa atasaname hii safari nahisi wamemtasfria vibaya kimemkuta aokolewe na
 
Back
Top Bottom