Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 2,778
- 3,361
ijumaa itatimia
Shukrani kaka ivi zbc wao hawana 1 wala 2Zbc au u tv
Endelea kuota. Bahati nzuri haukujua inacheza na timu gani. Huenda ndoto yako inaweza kuwa ilishatimia nawe ulioteshwa marudio au itatimia siku yoyote hata kama si leo.Habari za wikiendi na skukuu ya Baba wa Taifa. Bila kuchelewa ngoja niende kwenye mada husika.
Usiku wa jana kuamkia leo nileota ndoto ya ajabu mpaka hivi sasa cjajua inamaana gani.
Nimeota Al Ahly ya Misri ikishinda magoli 4-0 huku wapinzani wao sikuweza kuwaona ni timu gani.
Mwenye ujuzi wa hili naomba anisaidie.
Nawasilisha