Nimeota Al Ahly ikishinda 0-4, wapinzani wao sikuona ni timu gani

Jezi za wapinzani niliona kama nyekund Kwa mbaali ni nyeupe haaaaaahaaaahaaa
 
Habari za wikiendi na skukuu ya Baba wa Taifa. Bila kuchelewa ngoja niende kwenye mada husika.

Usiku wa jana kuamkia leo nileota ndoto ya ajabu mpaka hivi sasa cjajua inamaana gani.

Nimeota Al Ahly ya Misri ikishinda magoli 4-0 huku wapinzani wao sikuweza kuwaona ni timu gani.

Mwenye ujuzi wa hili naomba anisaidie.

Nawasilisha
Endelea kuota. Bahati nzuri haukujua inacheza na timu gani. Huenda ndoto yako inaweza kuwa ilishatimia nawe ulioteshwa marudio au itatimia siku yoyote hata kama si leo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom