Posho City
JF-Expert Member
- Mar 15, 2012
- 648
- 418
kuna wajanja wanatafuna pesa zako.wadau mimi ni mwalimu wa halmashauri moja hapa tz.nimeajiriwa kama mwalimu wa stashahada.baadae niliomba kwenda kusoma nikanyimwa ruhusa ila nkaona si busara kupoteza fursa.
Nilipoondoka mkurugenzi kazuia mshahara wangu na nilipohitimu 2012.nikakuta wameshaniondoa kwenye payroll.
Tangu 2012 ninahangaika nirudishwe payroll ila hadi leo kila siku danadana.
Sasa naombeni ushauri maana kuna aliyeniambia kuwa ukishaondolewa payroll unaweza kuanza ajira upya bila tatzo.
Je nianze upya ajira?
Wadau mimi ni mwalimu wa halmashauri moja hapa Tz.nimeajiriwa kama mwalimu wa stashahada.Baadae niliomba kwenda kusoma nikanyimwa ruhusa ila nkaona si busara kupoteza fursa.

Pole kwa usumbufu unaopata »»» kama unaona hutapoteza sana ni bora uanze upya kuepusha hizo longolongo
ahsante mkuu sidhani km ntapoteza sana maana nimeanza kazi 2008 hadi 2011 waliponiondoa payroll.hela ya pension ntakayopoteza haizidi milioni tano.
Na kwa umri nilionao ntastaafu mwaka 2043 kwahyo nina miaka zaidi ya ishirini ya kutumika kama ntakuwa hai.
Wadau mimi ni mwalimu wa halmashauri moja hapa Tz.nimeajiriwa kama mwalimu wa stashahada.Baadae niliomba kwenda kusoma nikanyimwa ruhusa ila nkaona si busara kupoteza fursa.
Nilipoondoka mkurugenzi kazuia mshahara wangu na nilipohitimu 2012.nikakuta wameshaniondoa kwenye payroll.
Tangu 2012 ninahangaika nirudishwe payroll ila hadi leo kila siku danadana.
Sasa naombeni ushauri maana kuna aliyeniambia kuwa ukishaondolewa payroll unaweza kuanza ajira upya bila tatzo.
Je nianze upya ajira?
Hebu ngoja tusaidiane kitu..mm nna watu nawajua waliondoka kwa style hiyo hiyo kilichotokea waomba kazi kwingine na wakapata tatizo likaja mshahara hawajapata mwaka sasa...kisa nn walikua govt mwanzo so payroll majina yao yapo..mwajiriwa mpya yy hana shida..shida inakuja hazina....sasa sijui itakuwaje na ss hivi system ni ngumu sana nasikia
mkuu hapa ninapoongea ni juzi jumatatu nilikuwa hazina hapa Dar wakanieleza kuwa salry slip yangu ya mwisho pale ni ya August kuanzia septemba cheque no yangu haipo
Mambo,naomba nisaidie juu ya hili namimi,kutolewa kwa payroll toka2014 kwa ccta angu ,but akajiendeleza now kahitmu degree je atachomoka kweli au aombe kibalikwa ktbu mkuu atumie cheq namba ya awali,au kwa uhkki huu wa jpm atakuwa amefuta kote kwa ptuwasipayrollane kwa PM nitakushauri. naweza nikakushauri kuhusu namna ya jurudi kazini. tunaweza tukakuambia uanze tena then ukapangiwa location mbaya usiyoipenda. I will advicevyou technical know how.
Mambo posho city,nisaidie na mimi my ccta alitolewa kwa payroll na kufutwa kazi bila utumishi sasa anatAka kurudi amemaliza chuo mwaka hyu je aombe upya kama kyna mbinu ili asijulikane ka ndiye kwa kuweka initial name,au aombe kibali katbu mkuu na process miaka miangpi ,au kwa uhakiki wa mwaka huu jpm atakuwa awafuta kabisa hd kwa lawsonMkuu mpayrollimi ishu yangu tofauti hazina nshaenda jina langu halisomi tena tangu August.
Pole sana hilo tukio lilimtokea dada yangu mwakaMambo,naomba nisaidie juu ya hili namimi,kutolewa kwa payroll toka2014 kwa ccta angu ,but akajiendeleza now kahitmu degree je atachomoka kweli au aombe kibalikwa ktbu mkuu atumie cheq namba ya awali,au kwa uhkki huu wa jpm atakuwa amefuta kote kwa p
payroll had kwa lawson system ,msaada maana shemeji now yupo majalala
pole sana hilo tukio lilimtokea dada yang na yy alipata nafas ya kuendelea degree mkurugenz akamuomb ruhusa akakataa ikabidi aende kwa lazima sababu alipata mkopo asilimia mia,alipoenda akapokea mshahara miez miwili baada ya hapo akawa hapati mshahara ila wenzake wakawa wanamwambia slpsrr zako zinaoneka hapo ofisini,so baada ya miaka yake kuisha chuo akaenda kuripot kazini akakuta barua ya kufukuzwa kazi kapewa ila ilionekan kulikuwa na mchezo watu wa halmshaur wanakula mshahara wake na barua ya kazi alipewa bila kuwa na sain yoyote.so ili bidi afatilie dar tamisemi,wakamsaidia so wahusika walichukuliwa hatua na yy akapata Ajira upya,na aliambiwa ili aludishiwe mishahara yake kuna process anatakiwa azipate,ningekushauri ufate taratibu zote ili upate haki yakoWadau mimi ni mwalimu wa halmashauri moja hapa Tz.nimeajiriwa kama mwalimu wa stashahada.Baadae niliomba kwenda kusoma nikanyimwa ruhusa ila nkaona si busara kupoteza fursa.