Nimeondokewa na baba yangu!

Nimeondokewa na baba yangu!

Too bad!
Naungana nanyi katika kipindi hiki cha maombolezo ya baba yetu mpendwa.
Mungu ampumzishe panapo salama, zaidi sana muliobaki huku juu muunganishwe zaidi na tukio hilo.
 
Poleni sana.
Mungu awafariji sana na kuwatia nguvu na kuwaongoza ktk kipindi hiki cha maombolezo.
Shukran
 
Nilileta taarifa hapa za kutafuta Damu ya kumuongezea baba, nilipata ushirikiano mkubwa sana kutoka kwenu!! Ila Mungu kampenda zaidi, tutakuwa dar kwakipindi kifupi then tutaelekea kirua vunjo moshi kwa mazishi. Bwana ametoa naye ametwaa jina lake lihimidiwe Amina

Pole sana Maege, Mungu awatie nguvu na kuwatuliza kwenye kipindi hiki kigumu.
 
Licha ya ukweli kwamba ni njia yetu wote, suala la kuondokewa na mtu wa karibu halijawahi kuzoeleka.
Pole sana maege, Mungu awape nguvu na ustahilivu wakati huu mgumu.
 
Last edited by a moderator:
pole sana kwa msiba wa baba. Nakutakia kila lililo jema katika kipindi hiki kigumu wewe na familia yako
 
Pole sn kiongozi.. Mungu akutie nguvu katika kipindi hiki kigumu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom