Yuko wapi mtu jeuri na Kiburi kama FARAO?
Yuko wapi leo hii Tajiri wa Matajiri kama SULEIMAN?
Yuko wapi mtu Mzuri na Mtanashati kama nabii YUSUF?
Yuko wapi Mwanamke mrembo na Mdanganyifu kama DELILA
Yuko wapi leo hii kipenzi chake MUNGU (BABA WA IMANI) IBRAHIMU?
Wote wapo ndani ya tumbo la Ardhi.
Ama hakika kwake tutarejea!
Vipi mimi na wewe tumejiandaaje na safari hii nzito?
Pole sana