Tuko
JF-Expert Member
- Jul 29, 2010
- 11,178
- 7,320
Kwa kweli baada ya haya mashtaka ya Mahimbo, sasa nimeona umuhimu wa mahakama ya kadhi. Yaani mtu kushindwa kumridhisha mkeo kaamua kwenda kwa mwanaume wa 'ukweli' unaamua kwenda mahakama kuu? Huu ni udhalilishaji wa mahakama kuu. Nadhani mahakama ya kadhi ingefaa kwa kesi za hivi..