Nimeona umuhimu wa mahakama ya kadhi

Nimeona umuhimu wa mahakama ya kadhi

Lengo la Mahakama ya Kadhi ni kuanza kuponda wanawake mawe, pia Kuua wanawake wanaoolewa na wakristu kama ilivyofanyika kule Sudan ya Kusini
 
Mahakama ya Kadhi/Sharia ilishushwa kutoka mbinguni kama ilivyoshushwa Quran. Hivyo Mahakama ya Kadhi ni Ibada

Kha yaani na mtu mzima mwenye uwezo wakupost JF bado una akili ya eti quran ilishushwa kutoka mbinguni.
Katika vitabu vyote ni Amri kumi ndio ziliandikwa na Mungu mwenyewe acha usanii wa kudanganya watu ... eti quran ilishushwa unaijua wewe quran au unasema tu?
 
Lengo la Mahakama ya Kadhi ni kuanza kuponda wanawake mawe, pia Kuua wanawake wanaoolewa na wakristu kama ilivyofanyika kule Sudan ya Kusini



unachanganya mahkama ya kadhi na mahkama sharia.
ukichanganya mambo usioyajua lazima uchanganyikiwe.

mbona umeshindwa kutaja kenya umeruka mpaka sudan.
 
unachanganya mahkama ya kadhi na mahkama sharia.
ukichanganya mambo usioyajua lazima uchanganyikiwe.

mbona umeshindwa kutaja kenya umeruka mpaka sudan.

Naongelea Yule mwanamke wa Sudan Kaskazini aliehukumiwa kifo na Mahakama ya Kadhi, lakini alikimbilia Marekani baada ya Mataifa kuingilia
 
Kha yaani na mtu mzima mwenye uwezo wakupost JF bado una akili ya eti quran ilishushwa kutoka mbinguni.
Katika vitabu vyote ni Amri kumi ndio ziliandikwa na Mungu mwenyewe acha usanii wa kudanganya watu ... eti quran ilishushwa unaijua wewe quran au unasema tu?

Mkuu mimi nafuata wanavyosema wao kuwa Quran imeshushwa. Sasa Bible imekuja kupitia Mitume zaidi ya 100. Lakini Quran na Mahakama ya Kadhi vimeshushwa kupitia Mtume Mohammad tu na siyo vinginevyo
 
Mkuu mimi nafuata wanavyosema wao kuwa Quran imeshushwa. Sasa Bible imekuja kupitia Mitume zaidi ya 100. Lakini Quran na Mahakama ya Kadhi vimeshushwa kupitia Mtume Mohammad tu na siyo vinginevyo


Sema vimeandikwaa unajua kuvipamba vitabu wakati vimeandikwa ni kukosea quran imeandikwa na binadamu na biblia pia. Ila biblia ndio iliandikwa na mitume mwanzooni kabisaaaa baadae ikaja kuandikwa quran hapo ndio unaweza elewa kwanini nasema vitabu havijashushwa.

AU MKUU HAUFAHAMU MAANA YA KUSHUSHWA KUTOKA MBINGUNI ? KAMA UNAFAHAMU KWANINI MNADANGANYA MAANA HUU NI UONGO KABISA KUSEMA KITU KIMESHUSHWA KUMBE NI BINADAMU WALIKAA WAKAANDIKA.
 
Naongelea Yule mwanamke wa Sudan Kaskazini aliehukumiwa kifo na Mahakama ya Kadhi, lakini alikimbilia Marekani baada ya Mataifa kuingilia



Rudi kafuatilie tena ile habari haikuwa mahkama ya kadhi.

ile ilikuwa ni mahkama ya serikali ya sudan kaskazini .kwasababu sudan ni nchi mojawapo inayoongozwa kwa kufuata sheria za kiislam.
sasa usichanganye usije ukachanganyikiwa.
 
Sasa wewe umeshindwa kutoa mada bila kuidhalilisha mahakama ya kadhi. Jaribu kuwa muungwana. Wenzio huko Marekani nao wanawashwa kuitafuta vita na waislamu. Yaani katika vitu vyooooooote wameona cha muhimu ni kuchoma Quran??!!!!

Waislam atuwexi choma Biblia .. kamwe maana ndani yake anatajwa Allah... waislamu tuna akili sana na tutashinda
 
Sema vimeandikwaa unajua kuvipamba vitabu wakati vimeandikwa ni kukosea quran imeandikwa na binadamu na biblia pia. Ila biblia ndio iliandikwa na mitume mwanzooni kabisaaaa baadae ikaja kuandikwa quran hapo ndio unaweza elewa kwanini nasema vitabu havijashushwa.

AU MKUU HAUFAHAMU MAANA YA KUSHUSHWA KUTOKA MBINGUNI ? KAMA UNAFAHAMU KWANINI MNADANGANYA MAANA HUU NI UONGO KABISA KUSEMA KITU KIMESHUSHWA KUMBE NI BINADAMU WALIKAA WAKAANDIKA.



Hii wala isilete tabu sana suala la kushushwa au kuandikwa ni suala la mtu alieamini na ambae hajaamini na haliwezi kumlazimisha kukubali au kukataa .
Qur-an imeshuka na itaendelea kuwa imeshuka kwa watu tulioiamini .

nzi hawezi kutingisha boga
 
nashukuru kwa swali lako lenye sehemu a,b na c

nianze na (a)

kuhusu jeshi kama utakumbuka 1991au92 sherehe za ujio waPAPA pale jangwani tulisikia risala ikisomwa kwamba Kanisa linashukuru, kwasababu mpaka sasa lina kamati ya JESHI.

kwahio kwa kifupi kanisa linajeshi ambalo hata papa anajua na Vatcan linatambulika.

sehemu(b)
Rc wanabalozi ambae anaiwakilisba Vatican na hill wala haliitaji mjadala mrefu.
sasa naona bado haujalizika unataka iwe nchi rasmi kama ilivyo Vatican tena nao wawe na balozi.mimi sioni tatizo kama waislam nao wakipewa mambo kama hayo.
na kama mji mkuu ukiwa Dar basi mji mkuu wa waislam uwe Arusha sio mbaya.

sehemu (c)
hitimisho:
'mawazo ya watu kama wewe ni mawazo ya uwoga uliopandikizwa na wakuu wa makanisa kwa lengo la kuukandamiza uislam.kwani wao wanaona Waislam kupata M/kadhi ni mafanikio na ni heshima kubwa kwa waislam.
isitoshe ndoa nyingi za waislam zitadumu jambo ambalo litapelekea ongezeko la kizazi cha kiislam kitacholeta upinzani mkubwa j
kwao miaka 30 ijayo
urithi utasimamiwa ipasavyo kwa uwadilifu na kwa imani ya kumuogopa allah hii itapelekea economic stability miongoni mwa waislam jambo ambalo litarudisha nyuma jitihada zao za kuurudisha nyuma uislam.


sisi waislam tunajua vyema tatizo mahala lilipo na tunajua namna tutakavyo litatua.ikishindikana mezani basi jua kwamba nchi tutaigawa.
na tunauwezo wa kuitisha harakati za UHURU kama tulivyo kuleteeni Uhuru wa TANGANYIKA NA ZANZIBAR.

duuh mkuu naona unatamani machafuko,nenda somalia au pakistan ukapigane huko!tatizo mi naona ni misingi ya mafundisho ya mtoto wa kiislam toka akiwa mdogo!Huko mnafundishwa ujasiri wa kuitetea imani yenu kulikopitiliza mpaka m2 yuko tayari kufanya chochote kutetea anachokiamini(hata kuua au kujitoa muhanga)!Tuanzie na hapo!madrasa watoto wafundishwe upendo kwa watu wote na mafunzo ya korani!haya mambo ya kuwaambia watoto kuwa wagalatia ni makafiri na kuwa ni watu wataoishia motoni ni kuwaharibu watoto!mnabomoa taifa la kesho!I
Hata kielimu ndio maana waislam wako nyuma,kuna baadhi ya shule ambapo mtoto akifeli somo la dini(uislam) anapewa adhabu kali na ikiwa atafeli hesabu no problem!Hii imechangia shule nyingi za kiislam kufanya vibaya!
Jipangeni ndugu,msikurupuke!
 
mkuu Bome-e

nasikitishwa na nukuu zako za kunikarr tofauti na kunilisha maneno ambayo sijayasema.
hakuna mahala nilipotaja machafuko
hakuna mahala nilipotaja kutetea imani(kwa kuua au kujitoa muhanga.naomba unitendee haki katika hilo.

kuhusu mafundisho ya mdrasa kwamba wagala mtauoga moto wa jahannam hio sio wao bali ni mwenyezimungu ndie aliahidi hivyo na hatunauwezo wa kuweka plasta kwenye maandiko

kuhusu kutoa kipaumbele masomo mengine tofauti na ya dini hilo ni zito sana sizani hata wagala hawawezi kkbali.dini ni nuru ya kuangaza yaliobakia.ikikosekana nuru muislam hawezikuona anakopelekwa.

kwahio dini itaendelea kuwa kwanza hata kama matokeo yao ya mitihani ikiendelea kuhujumiwa.

Ahsante kwa kuja.
 
Last edited by a moderator:
Ukamlipue? Maana Hamchelewagi, Mwenzako Hajui Kitu Kauliza Ulivyomjibu Kwa Hamaki Hv Huwa Mnashetani Vichwani Mwenu La Kulipuka Na Mihasira Muda Wote Hata Kwa Jambo Lisilostahili? Sasa Hapo Kilichokukasirisha Ni Nini? Et Akupe Namba Yake Ya Sm Yanini? Kwanini Usimjibie Hapa Hapa Ili Nasisi Tupate Kuona Utumbo Wako Utakaojibu? Vaa Bomu Kawalipue Wanafamilia Yako.Mijitu Mingine Isiyo Na Akili Inakera Sana. Et Shut Up Unamwambia Nani Hayo? Kwani Yeye Kakwambia Uislam Anaujua? Angekuwa Anaujua Angeuliza Swali? Ficha Ujinga Wako.

Ndugu punguza munkari,jambo lolote waislam watalofanya endapo litampendeza MMungu ni ibada.Kuhusu majini au mashetani hilo jina tu sawa na nyinyi mnavyowaita mapepo.Huwezi kutaka kuelimishwa jambo kwa kufanya kebehi mrejesho wake utakuwa kebehi hizohizo.Kuhusu suala la kulipua mabomu hiyo ni njia mojawapo ya kutaka ukombozi.Kwa waislam njia za kuondoa uovu ni tatu;ya kwanza kuondoa kwa mkono(ndo njia inayotakiwa),ya pili kuondoa kwa kukemea na ya tatu ni kukasirikaNaamini kutikana na vizazi vyako tutakuja pata waislam swafi kabisa kwa kuwa uislam ndo dini ya dunia kwa sasa japo propaganda za maaskofu na marekani zinawapumbaza.Marekani na washirika wao wanachofanya ni kuunda makundi ya kuleta fujo na baadae hujifanya kuingia kupigana nayo(ISIS) ili kuweka utawala vibaraka
 
nani anasema biblia ni kitabu cha MUNGU? vitabu vya MUNGU ni taurati, zaburi, injili alopewa YESU au nabii ISSA, na QUR'AN alopewa mtume MUHAMMAD (S.A.W). biblia haipo ktk orodha, ila maka.f.ir mnaamini kuwa biblia ni kitabu cha MUNGU! shame on u...
 
Si kila ibada inafanywa msikiti uislamu huujui shut up zungumza vitu ambavyo unaelimu navyo. Uislam hata kula ni ibada ww ukila huombi,kufanya kazi ni ibada.... eeh nipe number yako ntakufahamisha umuhimu mahakama ya kadhi

Kwann ni lazima mahakama ya kazi iingie kwenye katiba?? Niambie sababu ili tuendelee kuelimishana hapa usipanic ndugu
 
nani anasema biblia ni kitabu cha MUNGU? vitabu vya MUNGU ni taurati, zaburi, injili alopewa YESU au nabii ISSA, na QUR'AN alopewa mtume MUHAMMAD (S.A.W). biblia haipo ktk orodha, ila maka.f.ir mnaamini kuwa biblia ni kitabu cha MUNGU! shame on u...

Chinja chinja, kubaka na kuteka watoto na wanawake kupo kwenye Quran hiyo ya huyo allah wenu?
 
Wala tusiende mbali hapo Kenya tuu wasomali ambao waliruhusiwa kuwa wakenya na kumbuka wengi ni waislamu ni party zao la Alshabab. Angalia Somalia na Sasa Nigeria na wazee wa Boko Haram

Unaweza kusema hivyo ni vikundi vya ugali. Lakini wanadeclare kwamba huo ndio uislam.!

Haya huko Iraq, Syria, Yemen, Libya,Taliban etc....

Sikatai inawezakana m/kadhi ni nzuri lakini challenge kubwa ipo kwenye managment yake.Ambayo siioni ikiwa addressed.Ili kuja ku avoid bloodshed.

Kwa mtazamo wangu Islam ni dini Inayotaka ku dominate na ku rule countries especially mifumo yetu ya Siasa. Na kawaida Inataka mambo yake ya kiimani yawe sehemu ya jamii na kisiasa popote ilipo.

Jamii yetu ina dini nyingi na kwa experience tunayoinona kwenye baada nchi nyingi zinaogofya.

Ninachoaamini m/kadhi ni mwanzo tu.Baada ya hapo kitakachofuatia ni utawala wa Sharia.

Hilo ndilo linawapa hofu dini zingine kuruhusu m/kadhi.Laiti Amani inayosemwa na waislamu ingereflect kwenye world peace tungeona connection ya umuhimu wa hiyo m/kadhi.


kama mtazamo wa watu wote ungekuwa kama wako basi isingepatikana Taasisi yoyote ya kiisla hata moja hapa nchini .

Alshaba mwanzo wake ilikuwa ni assasination of Mogadishu 1992+3.ambayo ilifanywa na US &Izrael.

vipo vitabu na unaweza ukagoogle ukaendelea kupata ukweli.

Africa kunakitu kinaitwa AFRICOM baadae kikaitwa 3D baadae kikawa AMISOM.lakini ukitaza hii yote gearing of bloodshed created by US.

Dunia ya leo hauwezi kutaja ugaidi bila ya kumtaja mtuhumiwa namba moja ambae ni US.


Bado haujanirizisha kiushahidi kunithibitishia kwamba uislam au sheria ya kiislam na m/kadhi ndio chanzo chanzo cha kudidimiza maendeleo ya kiuchumi.
 
Mkuu mimi nafuata wanavyosema wao kuwa Quran imeshushwa. Sasa Bible imekuja kupitia Mitume zaidi ya 100. Lakini Quran na Mahakama ya Kadhi vimeshushwa kupitia Mtume Mohammad tu na siyo vinginevyo

walioandika quran imeandikwa na waraabu wanne (4)na ukifatilia historia zao za hao waraabu wanne (4)wengi wao wamekufa kwa ulevi na uasherati.
 
Kama hujui chochote kuhusu uislam usipotoshe...na kama hujui kuhusu ukristo usipotoshe. Hivi vitu ni imani za watu...mahakama ya kadhi haihusiani na islamic sharia...acheni chuki
 
Back
Top Bottom