Nimeona umuhimu wa mahakama ya kadhi

Tuko

JF-Expert Member
Jul 29, 2010
11,178
7,319
Kwa kweli baada ya haya mashtaka ya Mahimbo, sasa nimeona umuhimu wa mahakama ya kadhi. Yaani mtu kushindwa kumridhisha mkeo kaamua kwenda kwa mwanaume wa 'ukweli' unaamua kwenda mahakama kuu? Huu ni udhalilishaji wa mahakama kuu. Nadhani mahakama ya kadhi ingefaa kwa kesi za hivi..
 
Huyo jamaa anachotaka ni fedha. Watu kama hao huwa wako tayari kuwatuma wake zao wakafanye ukahaba ili mradi mke analeta hela nyumbani.
 
Sasa wewe umeshindwa kutoa mada bila kuidhalilisha mahakama ya kadhi. Jaribu kuwa muungwana. Wenzio huko Marekani nao wanawashwa kuitafuta vita na waislamu. Yaani katika vitu vyooooooote wameona cha muhimu ni kuchoma Quran??!!!!
 
Kwa kweli baada ya haya mashtaka ya Mahimbo, sasa nimeona umuhimu wa mahakama ya kadhi. Yaani mtu kushindwa kumridhisha mkeo kaamua kwenda kwa mwanaume wa 'ukweli' unaamua kwenda mahakama kuu? Huu ni udhalilishaji wa mahakama kuu. Nadhani mahakama ya kadhi ingefaa kwa kesi za hivi..

Kweli kabisa kuna umuhimu wa Mahakama ya Kadhi! Nafikiri unakumbuka kuwa Waislamu waliambiwa waanzishe Mahakama yao ya Kadhi lakini mpaka sasa wanang'aa macho wakisumbiri Serikali iwaanzishie! Hata hivyo Dkt Slaa si mwislamu, sasa hiyo Mahakama (ambayo ni Ibada ya Waislamu) inamhusuje yeye? Na ni kwa namna gani Mahakama Kuu inadhalilishwa? Au mawazo yako yamekaa kimadrassa muda wote?
 
:mad2::mad2: ooohooo...kumbe lengo lenu mahakama ya kadhi ihukumu na wakristo sio...? imekula kwenu..! siri imefichukaaa..
!:mad2::mad2:
 
:mad2::mad2: ooohooo...kumbe lengo lenu mahakama ya kadhi ihukumu na wakristo sio...? imekula kwenu..! siri imefichukaaa..
!:mad2::mad2:

NO. Itabidi tuanzishe mahakama ya kadhi inayohukumu dini zote. Unajua zamani wakristo hawakuwa na mambo ya ajabu kama haya. Ila wanakoelekea, nadhani nao wahusishwe na kadhi...
 
Bwn Tuko nina mashaka na udini wako. Hao wanandoa siyo Waislamu, mahakama ya kadhi inaingiaje? Tafuta uwanja mwingine wa kuongelea na kukampenia udini wako.
 
Hiyo billioni akiipata itamtosha kununua viagra mpaka aingie kaburini!!
 
Bwn Tuko nina mashaka na udini wako. Hao wanandoa siyo Waislamu, mahakama ya kadhi inaingiaje? Tafuta uwanja mwingine wa kuongelea na kukampenia udini wako.

Sio udini Bw. Dick. Hivi uliwahi kufikiria kuwa kuna mwanaume na ustraarabu wake anayeweza kwenda mahakamani kulalamika kuwa mke wangu ameniacha akaenda kwa mwanaume mwingine?
 
Kweli kabisa kuna umuhimu wa Mahakama ya Kadhi! Nafikiri unakumbuka kuwa Waislamu waliambiwa waanzishe Mahakama yao ya Kadhi lakini mpaka sasa wanang'aa macho wakisumbiri Serikali iwaanzishie! Hata hivyo Dkt Slaa si mwislamu, sasa hiyo Mahakama (ambayo ni Ibada ya Waislamu) inamhusuje yeye? Na ni kwa namna gani Mahakama Kuu inadhalilishwa? Au mawazo yako yamekaa kimadrassa muda wote?

Ndoa yenyewe ilifungiwa kanisani!
 
Naweza nikawa na maoni mfu kwa hili, noamba nieleweshe kama kweli mahakama ya kadhi ni ibada kwanini isifanyike mskitini??
 
Si kila ibada hufanyika msikitini au kanisani, labda ungeomba Kwanzaa kujua Ibada ni mini?
.
 
Si kila ibada inafanywa msikiti uislamu huujui shut up zungumza vitu ambavyo unaelimu navyo. Uislam hata kula ni ibada ww ukila huombi,kufanya kazi ni ibada.... eeh nipe number yako ntakufahamisha umuhimu mahakama ya kadhi
 
Mahakama ya Kadhi/Sharia ilishushwa kutoka mbinguni kama ilivyoshushwa Quran. Hivyo Mahakama ya Kadhi ni Ibada
 
Naweza nikawa na maoni mfu kwa hili, noamba nieleweshe kama kweli mahakama ya kadhi ni ibada kwanini isifanyike mskitini??

mfu si lazima uvikwe sanda.

tatizo lenu mmekaririshwa kwamba kwa Waislam ibada lazima ifanyike msikitini na hamjui kwamba hata hivi ninavyojibishana na wewe hapa jf yaweza kuwa ibada vilevile lkiwa nitakidhi vigezo na masharti ya ibada.

kwahio hoja yako haina msingj wa kuzuia mahakama ya kadhi KURASIMISHWA KIKATIBA.

Ahsante kwa kuja.
 
Hii mahakama inapunguza gharama, vibaka hakuna kwenda jela,kata mkono tu,piga mawe mpaka wafe,bahati nzuri sasa watanzania wameanza zoezi la kupiga watu mawe, vilevile viboko kuanzia elfu moja,hili tuna uzoefu na tulishakuwa na sungusungu,kwa wale wazinzi wanaopenda kuoa na kuacha hii ndio yenyewe,talaka ni sekunde tu halafu unaweka kifaa kipya
 
Si kila ibada inafanywa msikiti uislamu huujui shut up zungumza vitu ambavyo unaelimu navyo. Uislam hata kula ni ibada ww ukila huombi,kufanya kazi ni ibada.... eeh nipe number yako ntakufahamisha umuhimu mahakama ya kadhi

Ukamlipue? Maana Hamchelewagi, Mwenzako Hajui Kitu Kauliza Ulivyomjibu Kwa Hamaki Hv Huwa Mnashetani Vichwani Mwenu La Kulipuka Na Mihasira Muda Wote Hata Kwa Jambo Lisilostahili? Sasa Hapo Kilichokukasirisha Ni Nini? Et Akupe Namba Yake Ya Sm Yanini? Kwanini Usimjibie Hapa Hapa Ili Nasisi Tupate Kuona Utumbo Wako Utakaojibu? Vaa Bomu Kawalipue Wanafamilia Yako.Mijitu Mingine Isiyo Na Akili Inakera Sana. Et Shut Up Unamwambia Nani Hayo? Kwani Yeye Kakwambia Uislam Anaujua? Angekuwa Anaujua Angeuliza Swali? Ficha Ujinga Wako.
 
Naomba niwaulize swali nyie waislamu.
Je! mtakubali RC nao wapewe haki ya kuwa na jeshi na mji wao kama Vatcan?
Na wawe na mabalozi wao nchi mbalimbali na wahudumiwe na serikali?
Mf:- Dar iwe mji na makao makuu ya Wakatoliki, na iwekwe kikatiba?

cc: Tofyo

nashukuru kwa swali lako lenye sehemu a,b na c

nianze na (a)

kuhusu jeshi kama utakumbuka 1991au92 sherehe za ujio waPAPA pale jangwani tulisikia risala ikisomwa kwamba Kanisa linashukuru, kwasababu mpaka sasa lina kamati ya JESHI.

kwahio kwa kifupi kanisa linajeshi ambalo hata papa anajua na Vatcan linatambulika.

sehemu(b)
Rc wanabalozi ambae anaiwakilisba Vatican na hill wala haliitaji mjadala mrefu.
sasa naona bado haujalizika unataka iwe nchi rasmi kama ilivyo Vatican tena nao wawe na balozi.mimi sioni tatizo kama waislam nao wakipewa mambo kama hayo.
na kama mji mkuu ukiwa Dar basi mji mkuu wa waislam uwe Arusha sio mbaya.

sehemu (c)
hitimisho:
'mawazo ya watu kama wewe ni mawazo ya uwoga uliopandikizwa na wakuu wa makanisa kwa lengo la kuukandamiza uislam.kwani wao wanaona Waislam kupata M/kadhi ni mafanikio na ni heshima kubwa kwa waislam.
isitoshe ndoa nyingi za waislam zitadumu jambo ambalo litapelekea ongezeko la kizazi cha kiislam kitacholeta upinzani mkubwa j
kwao miaka 30 ijayo
urithi utasimamiwa ipasavyo kwa uwadilifu na kwa imani ya kumuogopa allah hii itapelekea economic stability miongoni mwa waislam jambo ambalo litarudisha nyuma jitihada zao za kuurudisha nyuma uislam.

sisi waislam tunajua vyema tatizo mahala lilipo na tunajua namna tutakavyo litatua.ikishindikana mezani basi jua kwamba nchi tutaigawa.
na tunauwezo wa kuitisha harakati za UHURU kama tulivyo kuleteeni Uhuru wa TANGANYIKA NA ZANZIBAR.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom