King’asti
Platinum Member
- Nov 26, 2009
- 27,866
- 24,976
Kwani yeye hajui kutofautisha tikiti maji na mkorosho? Na hauwezi kumuonea wivu anaelima tikiti wakati unasubiria korosho.
If only kama amepa mkorosho
kama ni matikiti maje je?
that means kuna watu wanavuna every 60 days....
huku yeye bado anasubiri lol