Mtoboasiri
JF-Expert Member
- Aug 6, 2009
- 5,100
- 1,955
Najitolea kuwa gumashi.
Wewe!!!!
Najitolea kuwa gumashi.
Mkuu wangu..Umezoea sana maisha ya pori nini..
BTW mi nakushauri huyo we jifanye umemsahau, na endelea na mambo yako!
Mambo yatajipa yenyewe, Pengine anatimiza kiitu kwanza, Ref; signature ya Smile
Ujue huyo inawezekana wewe ndiyo mtu wake wa kwanza ndiyo maana anachukua muda kukubali,
Just uchune, huku unasikilizia Kisilensa..
Afu usikubali akili yako kudonyolewa na duu,
Wanawake wengine ndivyo walivyo..
Wewe siyo mwana-Anthropology kama unavyo jiita. Mwana Anthropolojia huwa bingwa wa kustudy culture and language variability of society. Kwenye hili hata kustudy body language umeshindwa? Hapo hamna ki2 ni uzushi mtupu. Halafu mademu wa dizaini hii hupenda sana kujipitisha pitisha sehemu ambayo upo ili kukurusha roho na aone unavyobabaika kwake. We mpotezee kama vile hujawahi sema naye chochote uone atakavyojileta mzimazima. Halafu sikia dawa ya demu ni demu we jichanganye na mademu wengine utamuona mwenyewe anakuja mbio.
hahaha nishazoea kuishi na manyani mpaka nimesahau namna ya kuishi na binadam ,yeah umenikumbusha hii signature" It's good to test a guy first before you believe him. But don't let him wait that long" by Smile
thnx kwa advice hawa wanawake wanaweza kukuvuruga akili
Usikubali kuvurugwa kamanda..ye kakutest too long bana..
Au tumia mbinu mbadala,
Hebu niambie kwani huyo binti ni kabila gani?
nikikuambia kabila lake hata huwez kuamin,ni wale wanaopenda sana chin wanatokea jua linapozama
nipe maujanja ya mbinu mbadala
ha ha ha ha ha...kamanda unanifurahisha kweli kweli..
kwani huyo demu ni mzuri kiasi gani? nisije tumia akili sana,
Nikajikuta nakupa mbinu za kuua mende kwa nyundo...
kuna kabinti nimekafukuzia zaidi ya miaka 2, mpaka leo hajawahi kunipa jibu kama ananipenda ama hanipendi zaidi ya kuigiza tu tukiwa pamoja tunaongea. na kila nikijaribu kumchombeza kanakua kakali sana,mpaka nimeshindwa kukaelewa.
nishajaribu kumuuliza siku kama ananipenda au hanipendi anipe jibu moja nijue, akaishia kucheka na hakunipa jibu lolote.
sasa hii mara ya mwisho nimejaribu kumgusa bega wakati tunaongea amepaniki kinoma nikamuuliza tatizo ni nini?majibu yake kwa kweli mi sijayaelewa, kwani anasema kama ninataka kuongea naye niende siku nyingine yeye amechoka.kwa kweli nimeshindwa kumwelewa na nimechoka kuishi katika maisha ya dilema nikiwa siju msimamo wake kuhus mimi ni nini.
hivi kweli niendelee kusubiri maana nimeshachoka mwenzenu?
Nafikiria nikupe short course umpate ndani ya miezi mitatu?
hahah nitashukuru boss,mana mi nishakaukiwa mbinu nimejarb kila nachojua on my book
aise,2years enzi hizo. Acha kuumiza akili wasichana ni wengi sana amisha akili huko na utamsahau tafuta mtu mwingine na weka akili yako kwake utampenda.
Nilipokuwa sijakomaa vizuri nilikuwa na akili kama hiyo yako ya kufukuzia msichana kana kwamba mama alipokuwa anakuzaa alikupa jina lake ukikua umtafute,alitokea kaka mmoja alikua dreva wa magari ya safari ndefu alikuwa mtu aliyenikulia miaka kati ya 15 mpaka 20, akaanza kuniambia hawa wanawake watakuumiza akili,utatumia gharama nyingi wakati ukienda(danguroni) akataja jina ni 2000 kimoja 5000 usiku mzima na soda ukinywa ni yako ye hana share labda kama utamsaidia,aliendelea kuniambia,wapo wanawake wa kuwa wake,wapo wa kutembelea na maonyesho(hao figa,sura etc)kisha akaniambia tafuta aliye kupenda kwadhati,alisisitiza hao wanaokuzingua mda mrefu wengi huwa na watu wao afu siku mambo yakienda vibaya anarudi kwako,kudhihirisha maneno yake nikampa jina la msichana aliyenisa miaka nikamwambia hata yeye hawezi,siku mbili baadae akaja ameweka nguo ya msichana ya ndani akaniambia mpelekee,akasema ni ya fulani hata sikuamini ilikunidhihirishia akaniambia njoo jioni jioni pale mtoni. eeh maskini mimi live nashuhudia kipendacho roho kinasuguliwa....anyway sitaki hata kukumbuka we tafuta mtu ambaye hata kutia simanzi kwa juhudi zako.
ngoja niangalie lol
nitaku pm...[/QUOTE
poa
ahahaaaa aiseeehahaha nishazoea kuishi na manyani mpaka nimesahau namna ya kuishi na binadam ,yeah umenikumbusha hii signature" It's good to test a guy first before you believe him. But don't let him wait that long" by Smile
thnx kwa advice hawa wanawake wanaweza kukuvuruga akili
kuna kabinti nimekafukuzia zaidi ya miaka 2, mpaka leo hajawahi kunipa jibu kama ananipenda ama hanipendi zaidi ya kuigiza tu tukiwa pamoja tunaongea. na kila nikijaribu kumchombeza kanakua kakali sana,mpaka nimeshindwa kukaelewa.
nishajaribu kumuuliza siku kama ananipenda au hanipendi anipe jibu moja nijue, akaishia kucheka na hakunipa jibu lolote.
sasa hii mara ya mwisho nimejaribu kumgusa bega wakati tunaongea amepaniki kinoma nikamuuliza tatizo ni nini?majibu yake kwa kweli mi sijayaelewa, kwani anasema kama ninataka kuongea naye niende siku nyingine yeye amechoka.kwa kweli nimeshindwa kumwelewa na nimechoka kuishi katika maisha ya dilema nikiwa siju msimamo wake kuhus mimi ni nini.
hivi kweli niendelee kusubiri maana nimeshachoka mwenzenu?
Si usepe sasa au bado unajaribu? ila nimependa ukari wake kama kuku mwenye vifaranga.