mwananthropolojia
JF-Expert Member
- Oct 6, 2012
- 956
- 658
- Thread starter
- #61
only tow years? watu tume fukuzia 6years
du ulifanikiwa mkuu?
only tow years? watu tume fukuzia 6years
If only kama amepa mkorosho
kama ni matikiti maje je?
that means kuna watu wanavuna every 60 days....
huku yeye bado anasubiri lol
thanx nitalifanyia kazi
kuna kabinti nimekafukuzia zaidi ya miaka 2, mpaka leo hajawahi kunipa jibu kama ananipenda ama hanipendi zaidi ya kuigiza tu tukiwa pamoja tunaongea. na kila nikijaribu kumchombeza kanakua kakali sana,mpaka nimeshindwa kukaelewa.
nishajaribu kumuuliza siku kama ananipenda au hanipendi anipe jibu moja nijue, akaishia kucheka na hakunipa jibu lolote.
sasa hii mara ya mwisho nimejaribu kumgusa bega wakati tunaongea amepaniki kinoma nikamuuliza tatizo ni nini?majibu yake kwa kweli mi sijayaelewa, kwani anasema kama ninataka kuongea naye niende siku nyingine yeye amechoka.kwa kweli nimeshindwa kumwelewa na nimechoka kuishi katika maisha ya dilema nikiwa siju msimamo wake kuhus mimi ni nini.
hivi kweli niendelee kusubiri maana nimeshachoka mwenzenu?
Loh kanaogopa.
Kabinti ka watu bado kadogo kiasi kwamba ukikashika bega kanahisi ndo unataka kukashushia "kosovo"!
ni wa wa huko Wuhan,China ulipo?pole
Hujatuambia age lakini kama ni under 18 ni malaika zako wanakuepushia mgogoro na vijana wa saidi mwema. Vinginevyo unautafuta ubwana jela.... Maana utakua huko kwa muda mrefu sana...
Sepa zako tu unaweza spend muda mrefu kufukuzia, siku unakubaliwa unakuja realise ulikuwa unafukuzia mali mbovu.