mwananthropolojia
JF-Expert Member
- Oct 6, 2012
- 956
- 658
- Thread starter
- #81
kwa kweli...jibu sahihi hili😀
sijakupa
kwa kweli...jibu sahihi hili😀
nilikua nashikilia misemo ya mababu mvumilivu hula....
And quitters never win buddy!Bado anakupima, angalao mwaka wa 4 au wa 5 anaweza kukubali. we ongeza tu bidii. Hata siku akikuambia live kuwa hakutaki, wewe usichukulie siriazi, mara nyingine hawamaanishagi. weka tu juhudi, runners never quit mkuu.
Baadae ufahamu ukirudi vizuri utajicheka sana.