Nimeona nimuachie tu mtoto

Inaonekana unampenda zaidi ya anavyokupenda. Ila anaonekana bado ni mtoto na wewe huna experience ya kuhandle wanawake.

Huwezi mwambia mwanamke yuko free kuja muda wowote hutarajii kuoa..unameonyesha ulivyokuwa huna thamani...know your worth jembe.

Huyo usimpokee tena..plan maisha yako upya mwanamke gani selfish namna hyo yani umhudumie mtt wake bado amwonee wivu? Bro mshukuru Mungu na uamini amekuepusha na kitu mbeleni.
 
Wewe ni mwanaume.
Kaa kimya inaonesha unampenda huyo mdada.
Kwa maelezo hayo huyo dada anahitaji sana upendo wako, anahitaji sana faraja yako anahitaji sana attention yako lakini pia inaonesha hata matunzo na matumizi ya mtoto ni ya tabu(hapa mdada nae hajakomaa bado na hana busara kabisa alitakiwa akutie moyo upambane mlee mtoto)
Hana mwanaume wala nini anatikisa kibiriti maana anajua unampenda.
Hizo ni stress tu kuwa na kichanga bila kipato maalum na kama ulivyosema na wewe maisha ya kuunga unga.

Be a man simama imara huyo hatomaliza hata miezi 3 atakutafuta.
 
Yeah nakubali bro
Nimekuwa nampenda ila nimeshachoka.
 
Asante sana.
 
Haya ni watoto Sana kwa Kila kitu mume hovyo muke hovyo

Ushauri kwa mume
Kama umeamua kulea mwanao usikubali kutoa tumiz uchochoroni hakikisha unampa kupitia serikali au wakala wa serikali ili uwe na uhakika wakulea
Kwa kuwa ameshaanza kukutoa mtoto asikufahamu na hata Kama atakuwa atamfaham baba wakambo au mama ndo walezi pekee wewe ulimteoekeza.

Anagalizo

Anavoendelea hivyo anaweza kuja kukuambia siyo mwanao akawa ni mtoto wa huyo anayesema amempata , yawezekana ni wa zamani ndo alimpa mimba baada ya kuwa kwenye mgogoro naye akakubambikia ili apate unafuu wa maisha
Uwe mwangalifu
 
wewe mbona kama ms#ng# ms#ng# unamwandikia ujumbe wote huo wa mini
wakati wote sisi tunajua atarudi kwako huku analalamika

kaa kimya achana jifanye humjui kabisa akipiga simu muuulize nani mwenzangu
Nitajitahidi hisia zisinitawale mkuu.
 
Mwanaume unajibiwa ok unaendelea kuandika essay tatu tatu. Na mwanamke akiona hvo anakuona pimbi sana. Utajibiwa ok, k, p
kanikera sana kipande hicho unambembeleza wa nini kashasema amepata mwengine
kaa kimya tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…